The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,097
Sizinga nikilazwa nje ya nyumba leo utantambuaNilishawahi kusema hapa bila mpangilio wowote kama ifuatavyo:
- Afrodence-excelence ideology
- Ashadii-excelence mind, and quick responce kwa kila comment
- Husninyo-same as above
- Mwanakikjiji-anatumia ubongo kufikiri na wala sio masaburi
- MwanaJamiiOne-same as above
- Smile-huyu anagonga like kama hana akili nzuri vile
- Dena Amsi-sasa hivi anapoteapotea kiaina
- The Finest- Huyu mara nyingi anakeshaga bar,Fidel80 na The Boss
- Asprin-Huyu kaunta za juu za vilezi humkosi, nadhani ni paparazi huyu bwana
- Lizzy-nadhani huyu ni JF celebrity mwenye umri mdogo sana MMU
- Gaijin yuko same status na Eng Nsiande
- Rutashubanyuma-huyu bwana wa copy na paste, anatujuza mengi sana hapa jamvini
- Rejao-Mh huyu member mi mwenzenu simwelewi
- MziziMkavu-sounds like doctor, lakini yupo kiasili zaidi kama mganga wa kienyeji vile
- Sikonge na Waberoya-hawa mambwana hawa, we acha tu.
- Katavi-nilisema na ninasema, huyu bwana ana mwaka wa 3 humu jamvini, post zake hazizidi mistari 2, ni very short post
- Game Theory-He like CIA-haonekani siku hizi jamvini
- Mwita25-mwana mpotevu, kaongoka siku hizi
- .....
- .....
- ......
The Finest, Afrodenzi, DenaAmsi, Ashadii, Desdii, Jasmin, CarolineDanzi, Lizzy, The Boss, Katavi, ... Nitarudi tena
Hakuna kitakachoziba nafasi ya biya.......niape?We babu kwa kulewa sifa wewe.....
Utakosa nafasi ya biya...shauri yako!!
Anafagilia mie kupewa maujiko.........Bibi anafagilia upaparazi?
Yeah...they are damn hot...lolTo be honest nadhani nyie wanne
ndo wanawake wenye nguvu humu ndani..
you stand kwa vitu mnavyo amini that's hot..
Eish....hiyo bold mbona ni mtu mmoja?
Kulaaaleki, hili nimeliprinti nampelekea bibi yenu, leo chakula cha usiku ntapewa bila kubaka........
Elia una kesi ujue lakini
Yeah...they are damn hot...lol
Haaaa haaaa!The great Superstar
Ni mimi babu ODM
Source: Asprin + klorokwini
Thread Closed!!
Kumbe wewe ni Superstar haujawahi kuniambia utanieleza vizuri leo.....halafu huyu pacha wako anayeitwa AfroDanz mbona haujawahi kuniambia habari zake
Kwa kesi ya kumbaka nani?Kuna masaa 262800, yanakusubiri jela!!(au siku 10950 au miaka 30 ukitaka)
Unanikubali kwenye nini? hebu niambie kwenye PM bana hapa wanga wengi!Haaaa haaaa!
Babu nakukubali japo sina umri mrefu humu na upo kwenye list yangu lol!
Tena wamesahau km ww ndio bingwa pekeee wa kuchakachua sred za watu lol!
Yeah...they are damn hot...lol
Swali moja tu my dear ..
kwanini tu bado si Premium member??
personal I think your awesome...
maana nakumbuka we ndo ulinifanya niwe P member
Yeah...they are damn hot...lol
Kulaaaleki! kutajwa na Premium member kama huyu Bwana, zambi zangu tano zimeshasamehewa. Hii posti naicopy na kuipesti sehemu asije akabadili mawazo akadiliti.The Finest, Chatu Dume, Klorokwini, Asprin, Cantalisia, Feis Buku, Sweetlady, WiseLady, Pakajimmy...........n.k
Leo ile bendi ya Klorokwin inapiga kutakuwa na ulanzi na manguree nitakupitia twende kiingilio 1500/=join the club ..
hahahaahah lol AfroDanz bado namtafuta
naona ananiibia umaarufu wangu.. sasa wapi leo??
Sizinga nikilazwa nje ya nyumba leo utantambua
Hahahaha!!! Nimeweka superglue kabisateh teh teh
we funga macho hahaha lol
that was my idea .. 🙂
Na bado na badoHaahhahah....unalo!!!
Hata ukijikomba bado unalo!!
Babu Asipirini apia!!
Leo ile bendi ya Klorokwin inapiga kutakuwa na ulanzi na manguree nitakupitia twende kiingilio 1500/=