Ma-super star wa jf...!!

daaah nalog off forever
 
Siamini kama haya maneno yanatoka kwako aisee........nilkuwa sijui kama hunipendi kiasi hiki (Sio siri roho imeniuma kiukweli kweli)

Ndio, manake naona muda wote unakwaruzana na Babu tu, utamuua kwa presha....umri wake uliobakia amekopa halafu we huishi kukwaruzana nae...nafawatilia kwa karibu sana we DA
 
"Like" hazionekani jamani kwenye screen yangu hapa
 
Ndio, manake naona muda wote unakwaruzana na Babu tu, utamuua kwa presha....umri wake uliobakia amekopa halafu we huishi kukwaruzana nae...nafawatilia kwa karibu sana we DA

SAVE WATER, DRINK BEER Source Sizinga
 
Hahaha! Nini tatizo switie? Na ujifunze kutia nazi kwenye maji ya kuoga vinginevyo TF utamsikia redioni.

Radio gani nii-tune sasa hivi kabla mjadaala wa katiba bungeni haujaanza,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…