masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,555
- 20,086
mimi sina tatizo lolote labda hii drama hujailewa ilikoanzia, mwanamke kutongozwa ni sunna na asipotongozwa basi ana matatizo makubwa, lakini huyu ameanza tabia ya kila thread kufanya personal attack na humiliation kwa lara 1 bila sababu.
msg za huyu jamaa kumtongoza Lara 1 mimi alinionesha nikamwambia sioni tatizo wala ubaya wowote ila leo ndio baada ya jamaa kuzidi personal attack ikabidi Lara 1 azimwage hapa screen short short ndio jamaa akakimbilia kwa refa pm zikafutwa baadaye thread ikafungwa.
akitaka amani aishi maisha yake aachane na maisha ya watu, hata strippers wana waume zao.
Kafanya uchunguzi huru
episodes za mwanzo zilishuhudia mitongozo ya pm live katika screenshots mapema asubuhi..what the heck aisee!!

ngoja nije niprove kwako
movie ilinipita hii
Haujampata bado?
Nakuelewa sana kaka mkubwa ila najua una uwezo wa kulimaliza hili bila kujaza shendele!!!!!
Atakuwa kakuelewa, cha maana angalia yako na mywife wako mtarajiwa chekini kurasa za mbele!!!!
episodes za mwanzo zilishuhudia mitongozo ya pm live katika screenshots mapema asubuhi..what the heck aisee!!
movie ilinipita hii
Mkuu issue hizi haina haja ya kuongea hapa..
Hamna mwanamke asiyetongozwa humu kama jamaa kamtongoza demu wako na umejua unaachana nae tu.
Mademu wenyewe hawa leo utagombana na watu kesho mnaachana.
Hata Mimi asee!
Mkuu zilinipita unajua ka-smart4ne kangu toka jana jioni hakaleti notification ... sijui kwann
nakuheshimu mkuu lakini with only one condition aachane kumattack Lara 1, I will be useless man if can't protect my woman.
ni ruksa washindane kwa hoja kwenye topic na siyo kuingilia maisha ya mtu.
mkuu licha ya wanawake kuwa wengi hivi huku wakizidi kushuka bei kuna watu bado wanagombania wanawake ?
Halafu zile siri za PM zinavujishwa teh teh
kuna siku maajabu yatashangaa vituko vya binadamu.
teh teh teh
nakuheshimu mkuu lakini with only one condition aachane kumattack Lara 1, I will be useless man if can't protect my woman.
ni ruksa washindane kwa hoja kwenye topic na siyo kuingilia maisha ya mtu.
na mimi sipati notification nimejua ni kamchina kangu tu kumbe siko mwenyewe