Ma-handsome hawana lolote kitandani

Ma-handsome hawana lolote kitandani

mimi naamini katika aina ya vyakula
kwa mme wakijijini wa dona na mihogo kazi huifanya kwa ufanisi kuliko mme wa mjini chips yai
 
halafu hao ma-handsome na wenye pesa kitandani wana papara. yaani yeye anataka kuchomeka tu hakuna kucheza kwanza!
 
Pesa ndo kila kitu no stress


Sent from my iPhone 5 using JamiiForums
 
Mtasema yote lkn boss ni fedha kila kitu kina ufundi wake ukiona hawez mfundishe
 
Te te te nilicho gundua kila kundi katika jamii limeanzisha framing yake ya kujikweza...

Mradi tu kujipa moyo...

Sitaki kuorodhesha haya makundi na framing zao...maana mawe yatakayorushwa utashangaa...lakini nadhani umenipata...

Yani mtu anakaa anajifikiriaaaa...anaona ngoja nianzishe uzi nipate wakunipa moyo...na kweli anawapata wenye kufarijika na huo mtazamo...it helps

It seems like kuna vita dhidi ya uhandsome Jf

Manake..........................
 
Sasa unabishana na eksipiriensi ya ntu????!!!

Hahahahahahahahahah' kuna mtu hapo juu kasema ID ya kiume ila maandishi ya kike hahahahahahahaha. Jamaa hzo mada awaachie mashorty, af anatudhihirishia yeye co handsome na pesa hana. Unafikiri atakua na experiance gan zaid ya research za aina hiyo
 
naweza kumtetea mtoa mada MCHUNGUZI HURU kuna chunguzi zingine huambatana na stori zinazo zagaa mtaani kuhusu aina ya watu
wadada nyie ndio chanzo cha haniridhishi vibamia hivi kwa akili yenu nyie mnao hoji wanaume tunachunguliana nyuchi ?
kumbukeni hakusema wote hivyo kwa namna moja au nyingine namuunga mkono na miguu mtoa mada

Hakuna cha kutetea hapo labda km na ww ndo wale wale. Wanawake akija na story km hyo co km amemhoji mtu inakua ni experiance kutokana na past relationship kakutana na wanaume mbali mbali. Sasa yeye nini kilimtuma kufanya huo uchunguzi? Au yeye mwanaharakati wa kudai haki za wanawake kuridhishwa?
Na km ni research aje na detail alio wahoji ni Wanawake wa town au vjijini, rika gani n.k. Mwanaume huwez kisema ni experience wala uchunguzi utaonekana huna mambo ya msingi ya kufanya, ndo maana hata madem humu wamemshangaa.
 
Last edited by a moderator:
Yn nawapendelea sana watu wenye muungano wa sifa no 1&2, sema tu hawapatikani.
 
Kundi la kwanza: Ma-handsome boys, hawa kitandani ni hovyoo kabisa, wanadhani watapendwa kwasababu ya sura zao pekee na si kugegeda.

Kundi la pili: Wanaume wenye pesa, hawa wanadhani watapendwa kwa pesa zao hivyo hawana time ya kutumia nguvu zao nyingi kwenye kugegeda, pesa inaongea.

Wanawake wengi wanaotembea na makundi hayo hapo juu huchepuka kwa lengo la kutafuta kuridhishwa kimapenzi.

Wanaume hawa kwakuwa hawana pesa wala si mahandsome hivyo wao silaha yao ni kugegeda tu, hapo ndipo wanapochukua marks zao za bure. Wanawake wanaogegedwa na hili kundi la hawa jamaa mara nyingi huchepuka kutafuta mabwana wa kupiga nao picha na wenye pesa.

Ila kwa kugegeda hili ndio kundi linaloongoza Tanzania na Africa mashariki na kati.
..............................................
UPDATE: Nimeulizwa sana swali kwamba "wewe SUPU YA MAWE umejuaje kuhusu hilo swala"
Kiufupi ni kwamba, mimi ni mchunguzi, na nimebobea katika hili swala. Hivyo kwa kutumia njia zangu za kiuchunguzi nilifanya mahojiano na wanawake tofauti na nikabaini hayo niliyowasilisha hapo. Kubali au Kataa, wanaume ma-handsome hawana lolote kitandani, wanatumika kupiga picha tu.
.................

By: SUPU YA MAWE

ila kuna ukweli hapo..
 
Back
Top Bottom