Son of Gamba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 4,718
- 6,979
Replies kama hizi ukizisoma unapata picha ya kwanini kama taifa tunahitaji ukombozi kwenye Kila kitu hasa elimu na fikra mpya hasa kwenye uongozi wa nchi
Watu hawawezi kabisa kujenga au kubishana kwa hoja bali visentensi vyenye mipasho visivyo na mbele wa nyuma Kama hizi replies hapa
Tunaposema tunahitaji mabadiliko ni dhana pana sana, tuna kundi kubwa sana la wananchi ambao bado hawajajitambua na ambao wanaona hali tuliyo nayo ni stahiki yetu
Mabadiliko hayaletwi na mtu anayekunya kwenye nguo, shujaa hajinyei bhana, tukubali ukweli, mabadiliko hayaletwi na mtu dhaifu kama huyo mzee wenu. Acheni kujidanganya wenyewe. #HapaKaziTu CHAGUA MAGUFULI.