M4PI....! Kituko kingine cha CCM maslahi

M4PI....! Kituko kingine cha CCM maslahi

kweli mkuu unalosema hawa magamba wakipita sijui kwa hila gani, tutaipata, hususani mkoa wa MBEYA, kwani juzi nimemsikia mtu wa ugambani anasema hawa watu wa mbeya ni viburi sana ole wao tupite watajuta kuwafahamu!!! kwani lazima yalipize kisasi kwa aibu waliyopewa na wana nchi,

Kwa kulipiza ubaya utakuwa unajenga au unqbomoa?miaka mitano sio mingi!
 
Hii imetokea leo huko Mwanza ,eti vijana zaidi ya 180 wasio na vyama wameamua kufanya kongamano la kuhamasisha amani na maslahi ya taifa/jamii
M4PI kirefu chake ni Magufuli for public interest ...lakini Mimi naitafsiri kama magufuli for prohibited immigrant
Sinema ikakolezwa na wachangiaji kusema wameamua kumuunga mkono magufuli
Kisha wakarudisha kadi ya vyama walivyotoka, mlengwa kikiwa ni CHADEMA
Kisha wakaahidi kumpa Kura magufuli na kuahidi kuwahamasisha wengine kufanya hivho
Tujadili :::::::
-ni kongamano LA vijana wasio na vyama lakini wana kadi za vyama vya siasa.... Upuuzi uliovuka mipaka
-anaalikwa mwakilishi wa ccm kupokea hizo kadi chache zilizorudishwa na kusema kuwa alipigiwa simu na kuja fasta... Uongo wa kitoto hasa
-vijana wanahojiwa mmoja mmoja wachache wao, wanasahau lengo la kongamano lao na kujibu Kama watu waliopangiwa majibu na ccm, na karibia wote wakimsifu Sana magufuli
Chombo cha habari kilichoalikwa ni Star TV na habari inapewa coverage kubwa mno... Na hii ndio M4PI,

Utaisoma namba Nyumbu wewe! #HapaKaziTu CHAGUA MAGUFULI
 
Mtaandika sana mwaka huu lakini Magufuli will be your next prezda!!

Magufuli atakuwa raisi wako wewe na yule hawara wako,sio raisi wa tz hata ubunifu ccm hawana te yaani kama ni kuishiwa sera basi ccm iko 0 kwasasa ukitaka kuwa samala mahali popote sema ccm vibaya ila ukitaka ujichukie sifia ccm utajuta,watu tunataka mabadiliko wewe unaleta mchezo
 
Pumbaaaaaaaaaa hio
 
Huu uchaguzi wa mwaka huu naona watu wengi wanafuata mkumbo tu kwa kushabikia hawa wagombea. Yaani watanzania

wengi masikini ya Mungu wanahitaji elimu ya uraia ili wajitambue.
 
Huu uchaguzi wa mwaka huu naona watu wengi wanafuata mkumbo tu kwa kushabikia hawa wagombea. Yaani watanzania

wengi masikini ya Mungu wanahitaji elimu ya uraia ili wajitambue.

Yaaani we acha tu, hizi elf 10 10 hizi, watu hatujui tunakula nini na tutakula nini, kodi zetu ndo wanawapa, mie naona wanaokomalia ccm ni wale ambao hawajakumbwa na kadhia ya ccm siku za nyuma, wanapoomba kura ni kondoo kabisa, na watakapopewa kura huwa chui, hao hao ndugu watarudi baada ya uchaguzi kuwa bora wangempa mamvi
 
Watapambana lakini hawatashinda.CCM badala ya kuwahudumia wazee wagonjwa na wenye njaa katika kambi ya Bukumbi Mwanza (Kwa mujibu wa ITV - Taarifa ya habari) halafu wanachezea akili za watu kupitia Startvccm!!
 
Tetesi, may be hisa za tbl zimeuzwa kwa dola 80 dollar kisa upumbavu ka huu.
 
uzuri wa maigizo, yakionyeshwa tu kwa TV unajua kabisa hili ni igizo walau wangewaweka waigizaji professional wenye vipaji kidogo ingesaidia, vinginevyo ni kuchekesha walionuna
 
kweli mkuu unalosema hawa magamba wakipita sijui kwa hila gani, tutaipata, hususani mkoa wa MBEYA, kwani juzi nimemsikia mtu wa ugambani anasema hawa watu wa mbeya ni viburi sana ole wao tupite watajuta kuwafahamu!!! kwani lazima yalipize kisasi kwa aibu waliyopewa na wana nchi,

Hawana cha kuifanya Mbeya, wawatishie Bagamoyo na Lindi huko
 
M4PI ni movement yenye manufaa kwa taifa
 
Mtaandika sana mwaka huu lakini Magufuli will be your next prezda!!

Wasubiri watayaona madhara ya kuupiga ng'wenzi mkuki tar 25/10

Mtaandika sana mwaka huu lakini Magufuli will be your next prezda!!

Utaisoma namba Nyumbu wewe! #HapaKaziTu CHAGUA MAGUFULI

M4PI ndio Habar ya mjini

M4PI ni movement yenye manufaa kwa taifa

Replies kama hizi ukizisoma unapata picha ya kwanini kama taifa tunahitaji ukombozi kwenye Kila kitu hasa elimu na fikra mpya hasa kwenye uongozi wa nchi
Watu hawawezi kabisa kujenga au kubishana kwa hoja bali visentensi vyenye mipasho visivyo na mbele wa nyuma Kama hizi replies hapa
Tunaposema tunahitaji mabadiliko ni dhana pana sana, tuna kundi kubwa sana la wananchi ambao bado hawajajitambua na ambao wanaona hali tuliyo nayo ni stahiki yetu
 
Nani kasema hawana chama? Tazama picha kuna lile bichwa limeshika mike linaitwa Donatus au RUTA limemaliza Udom mwaka huu akiwa mwenyekiti ccm
 
Replies kama hizi ukizisoma unapata picha ya kwanini kama taifa tunahitaji ukombozi kwenye Kila kitu hasa elimu na fikra mpya hasa kwenye uongozi wa nchi
Watu hawawezi kabisa kujenga au kubishana kwa hoja bali visentensi vyenye mipasho visivyo na mbele wa nyuma Kama hizi replies hapa
Tunaposema tunahitaji mabadiliko ni dhana pana sana, tuna kundi kubwa sana la wananchi ambao bado hawajajitambua na ambao wanaona hali tuliyo nayo ni stahiki yetu

Magufuli for Public Interest vs Magufuli for Prohibited Immigrants sio hoja ya kujadili kiongozi. Siwezi kuchalenji hoja zinazoletwa kwa njia za mihemko. It's like telling me to argue for "Toroka Uje" statement. Soma bango lako...!!
 
Kijana akishakuwa ccm anapoteza hadi akili. Na hii inachangiwa na kupewa sh 5,000 ambayo itamtesa miaka mitano
 
Back
Top Bottom