Kunta Kinte
JF-Expert Member
- May 18, 2009
- 3,690
- 1,293
wee waache wajitekenye na kucheka wenyewe!!
Huu uchaguzi wa mwaka huu naona watu wengi wanafuata mkumbo tu kwa kushabikia hawa wagombea. Yaani watanzania
wengi masikini ya Mungu wanahitaji elimu ya uraia ili wajitambue.
Magufuli for Public Interest vs Magufuli for Prohibited Immigrants sio hoja ya kujadili kiongozi. Siwezi kuchalenji hoja zinazoletwa kwa njia za mihemko. It's like telling me to argue for "Toroka Uje" statement. Soma bango lako...!!
Hii imetokea leo huko Mwanza ,eti vijana zaidi ya 180 wasio na vyama wameamua kufanya kongamano la kuhamasisha amani na maslahi ya taifa/jamii
M4PI kirefu chake ni Magufuli for public interest ...lakini Mimi naitafsiri kama magufuli for prohibited immigrant
Sinema ikakolezwa na wachangiaji kusema wameamua kumuunga mkono magufuli
Kisha wakarudisha kadi ya vyama walivyotoka, mlengwa kikiwa ni CHADEMA
Kisha wakaahidi kumpa Kura magufuli na kuahidi kuwahamasisha wengine kufanya hivho
Tujadili ::
- Ni kongamano LA vijana wasio na vyama lakini wana kadi za vyama vya siasa.... Upuuzi uliovuka mipaka
- Anaalikwa mwakilishi wa ccm kupokea hizo kadi chache zilizorudishwa na kusema kuwa alipigiwa simu na kuja fasta... Uongo wa kitoto hasa
- Vijana wanahojiwa mmoja mmoja wachache wao, wanasahau lengo la kongamano lao na kujibu Kama watu waliopangiwa majibu na ccm, na karibia wote wakimsifu Sana Magufuli.
Chombo cha habari kilichoalikwa ni Star TV na habari inapewa coverage kubwa mno... Na hii ndio M4PI,
Naomba kujuzwa!kwa nini wanaosema wanaruisha kadi hawarudidhi kwenye vyama walivyochukulia kadi Ila wanazipeleka kwenye vyama vingine?mfano mimi nikichukua kitu kutoka kwa fulani,nikitaka kukirudisha napaswa kumpa yeye au mtu atakae mfikishia!nikimpatia mtu mwingine tofauti na yule aliyenipa inamaanisha nimemgawia na siyo kurudisha!Nijuavyo mimi!Kama nimekosea naomba kujuzwa!

Mimi na my wife almanusra tuvunjike mbavu wakati habari hii inarushwa na Star TV! Very funny, indeed!
Replies kama hizi ukizisoma unapata picha ya kwanini kama taifa tunahitaji ukombozi kwenye Kila kitu hasa elimu na fikra mpya hasa kwenye uongozi wa nchi
Watu hawawezi kabisa kujenga au kubishana kwa hoja bali visentensi vyenye mipasho visivyo na mbele wa nyuma Kama hizi replies hapa
Tunaposema tunahitaji mabadiliko ni dhana pana sana, tuna kundi kubwa sana la wananchi ambao bado hawajajitambua na ambao wanaona hali tuliyo nayo ni stahiki yetu
M4C-kiasili ni MOVEMENT FOR CHANGE lakini stupidly ikachakachuliwa na magufuli na kuwa movement for magufuli, sasa nashindwa kuona unapata jotro m4pi nikiitafsiri kuwa ni m4prohibited immigrant
PI kwenye maswala ya uhamiaji ni neno baya Sana, na passport yako ikitokea ukagongewa PI jua umekwisha, hutakaa upokelewe popote
Kwahiyo mnapojaribu kutengeneza vitu kama hivi angalieni visiwaletee tafsiri hasi na Nuksi mbeleni
Toroka uje huku UKAWA KUNA maji.na sabuni ya kutakasa _
Nimeipenda TOROKA UJE
Nafikiri Wametosha sasa wakizidi kuja wengine haitanoga kivile
Mimi na my wife almanusra tuvunjike mbavu wakati habari hii inarushwa na Star TV! Very funny, indeed!
teh teh mkuu kumbe wanajitekenya na kucheka wenyewe mwaka huu LOWASSA RAIS
VIVA UKAWA!!