Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,154
- 13,267
Kwa wale ambao hamjaziona au mmeziona lakini hamjabaini, huyo jamaa anayesulubiwa kushoto amevaa fulana ambazo zimetoka karibuni kwa ajili ya M4C, zipo aina mbili, kijana huyu alikua miongoni mwa waandamanaji wa IFM jana akisulubiwa na askari kanzu mwenye fulana ya kijani...
My take; this is what we call calling for trouble, kwenda na hiyo Tshirt wakati ukijua kabisa kwamba hapo sio siasani ama badu nchi ina wenyewe
My take; this is what we call calling for trouble, kwenda na hiyo Tshirt wakati ukijua kabisa kwamba hapo sio siasani ama badu nchi ina wenyewe

