M4C Tabata Kimanga: Msigwa, Marando, Heche, Mashishanga Kuiteka Dar Es Salaam

Safi Mno ila hamtoi taarifa watu wa huku tabata tuhudhurie kwa mfano me sina habari ila nashukuru kwa taarifa nasubiri muda nikasikilize vichwa vikiwa vinatoa Point za maana
Mkuu kidodi jongea eneo la tukio fuso ndio linskaribia uwanjani tuungurumishe chama dume kimanga!!
 
Last edited by a moderator:
Dar Es Salaam amkeni

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
watu wa Dar tuonyesheni kuwa mpo makini ktk updates.ka vp next tym tunamkodi kamanda Mungi,Crashwise na Arushaone
 
Ngoja tusubiri aibu kama ya siku ile mkutano kukosa watu, ndiyo mmeamua kuupeleka Tabata Kimanga kituoni sababu padogo.

Kwa nini msipeleke pale uwanjani shule muumbuke.

Tunasubiri picha.

makongolo alifanyia mkutano kituo cha polisi tabata-shule husemi. we jamaa kwa kubaguwa mazuri na kuacha mabaya hujambo.

afu sisi hatuendi kucheza mpira, kwa nini unataka tupeleke mkutano uwanja wa mpira?
 
Mkuu concord nh nipo hapa na kamanda mwenezi nimekula full combat na tupo kiintelejensia zaidi hata yale majamaa hayaoni ndani,tumejipanga vya kutosha!!

Aisee safi sana, kamanda kijome tupiamo basi tupicha..pia ningependa kuwaona wewe na kamanda mwenezi jinsi mlivyopendeza
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom