M4C Tabata Kimanga: Msigwa, Marando, Heche, Mashishanga Kuiteka Dar Es Salaam

Wananchi wanasikiliza kwa makini habari za ukombozi mpaka raha.magamba yanaumia kwa uchungu.
Hawa hapa mkuu concord nh
attachment.php
 

Attachments

  • Mkutano wa Chadema TKimanga 11.08.2013 036.jpg
    Mkutano wa Chadema TKimanga 11.08.2013 036.jpg
    269.5 KB · Views: 120
Mkuu kijome ungetupiamo picha inayokuonesha na wewe nikuone ulivyotoka na combat
hahahaaa mkuu magamba yatanisaka kimya kimya maana siku hizi ni kung'oana kucha bila ganzi,tunayachapa kwenye mitandao kinoma...
 
hahahaaa mkuu magamba yatanisaka kimya kimya maana siku hizi ni kung'oana kucha bila ganzi,tunayachapa kwenye mitandao kinoma...

Mkuu kijome hongera sana, good job...wananchi wametulia wanafuatikia mkutano kwa utylivu na amani.policcm ndio wanaletaga machafuko pale wanapo sambaratisha mikutano ya chadema. Wasipo vuruga ni amani na utulivu
 
M4C Dar Es Salaam inawatangazia mkutano wa hadhara utakaofanyika viwanja vya stendi ya Tabata-Kimanga.

Ni KESHO tarehe 11/08/2013 ambapo Makamanda, Mch. Msigwa, Mh. Mabere Marando, Mh. John Heche, na mwenyeji wao Mh. Mama Raheli Mashishanga wataizizimisha Tabata na Dar Es Salaam nzima jioni ya leo. Karibuni wote.

Chadema chama cha watu,

Chadema Chama cha Ukombozi.

Njooni nyote tusikilize sera za ukombozi kutoka kwa Makanda.

People's Power!

Ng'wanangwa.

maaandamano na uroho wa madaraka vinawapa tamaa wachaga wa cdm
 
Magamba mkiongozwa na Ritz mlikuwa mnasubiri picha je mnataka nini tena?na hapo hakuna alieletwa na gari wala aliepewa posho.Ngojeni wiki iijayo jumapili tutawambia wapi tutalikita tena.
Tena kwa taarifa yao mkuu mkutano wa jana ni wa kata sio wa jimbo wala kitaifa,asanteni wana kimanga kwa muitikio wenu pamoja tutashinda!!
 
Back
Top Bottom