M4C Tabata Kimanga: Msigwa, Marando, Heche, Mashishanga Kuiteka Dar Es Salaam

M4c kimanga mods weka pcs vizuri
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1376231708316.jpg
    uploadfromtaptalk1376231708316.jpg
    29 KB · Views: 89
Jukwaa kuu la m4c heche anasema tunataka serekali ya tanganyika mbona znz wana serekali na wana bunge Tanganyika hatuna?
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1376231801136.jpg
    uploadfromtaptalk1376231801136.jpg
    59.1 KB · Views: 85
Sasa kamanda,mchungaji Msigwa amepanda jukwaani,anasema ana mshukuru Mungu akiwa hai kwenye taifa ambalo muda wowote unaweza kung'olewa kucha,kope,ukamwagiwa tindikali na hata kupigwa risasi.
 
Moja ya vizimba vya cdm kata ya kimanga ambavyo vimezinduliwa leo na Heche
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1376232121767.jpg
    uploadfromtaptalk1376232121767.jpg
    100.6 KB · Views: 87
Msigwa kaingia jukwaani na pipoziiiiiiiiiiii
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1376232658075.jpg
    uploadfromtaptalk1376232658075.jpg
    79.6 KB · Views: 102
Picha zaidi kutoka Kimanga
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1376232872864.jpg
    uploadfromtaptalk1376232872864.jpg
    66.8 KB · Views: 95
Kamanda Msigwa anaunguruma sasa,magamba ni kama ukoo wa panya baba mwizi,mama mwiz.......
Taifa hili linahitaji ukombozi maana tumeruhusu akili ndogo kutawala akili kubwa maana tuna uongozi ambao hauna vision,serikali ina misemo kibao mara mkukuta,mara mkurabita,mara big result na mavitu kibao yasiyotekelezeka!!
Tuungane tuikomboe nchi yetu..
 
Msigwa anasema mzigo mkubwa wa kuendesha taifa hili unabebwa na wananchi masikini,makampuni makubwa yanakwepa kodi,leo ungepata bahati ukaenda kwenye makampuni ya simu ukajionea jinsi yanavyoingiza hela,utasikitika,lakini hayalipi kodi,Msigwa anasema.
 
Wanachi tunataka muwe na mamlaka juu ya serikali yao,anasema Msigwa,anasema bunge limejaa mambulula tu.anawaomba wananchi wawahukumu kwa maatendo yao na wasiwachanganye kwenye kapu moja.
 
Wakuu 3squere na mkuu jigoku asanteni kwa kuwezesha uzi kwa picha maana magamba akina HAMY-D wanajifanya tomaso...peopleeeess!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom