Fede Masolwa
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 529
- 123
Wadau nyimbo hii ni nzuri sanaa, 2J wamechana vizuri..if ur interest kwa song ni PM namba yako ya watapps nikutupie fasta...tusaidie mabadiliko.
#SpecialUKAWA .
#SpecialUKAWA .
Usimuingize Professor J kwenye mambo ya Siasa.
Huo Muda hana,anashughulikia muziki wake na miradi yake.
Wadau nyimbo hii ni nzuri sanaa, 2J wamechana vizuri..if ur interest kwa song ni PM namba yako ya watapps nikutupie fasta...tusaidie mabadiliko.
#SpecialUKAWA .
Unataka tujuw nawe una wasapu?
Tafuta maisha we,acha upumbavu wa Siasa