M4C pamoja daima Tabora yazizima

M4C pamoja daima Tabora yazizima

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,932
Reaction score
11,849
Ujio wa viongozi wa chadema kuja mkoani Tabora kumesababisha wananchi wengi kuacha shughuli zao kwenda kuwasikiliza viongozi wa chadema wakiongozwa na Makamu Mwenyeki Zanzibar Nd, Said mohamed na John Mnyika, uwanja mzima wa uyui umejaa watu na baada ya Mkutano yamefanyika maandamano makubwa ya kuwasindikiza viongozi hao hoteli waliyofikia.
 

Attachments

  • IMG_20140122_165524_0.jpg
    IMG_20140122_165524_0.jpg
    254.4 KB · Views: 1,997
  • IMG_20140122_171143_0.jpg
    IMG_20140122_171143_0.jpg
    262.1 KB · Views: 2,129
  • IMG_20140122_171203_0.jpg
    IMG_20140122_171203_0.jpg
    184.1 KB · Views: 2,616
Nahisi uchaguzi wa mwaka 2015 matokeo yatakuwa kama ifuatavyo:

CDM 69%; CCM 21%; CUF 6%; NCCR 3% ......Vyama vilivyobaki 0.000002%
 
Zittoo kwisha habari yako, pole brother hii ndio politics mzee.

Habari za kuaminika ni kuwa ametuma team ya watu wazito akiwemo mama yake na baadhi ya wasomi wenye hadhi ya uprofessa, kwa Kamanda Mbowe ili ku-reconcile.
 
waliodhani cdm inafanya mzaha bila shaka wameisoma namba .
 
Chadema isipochukua nchi mwaka 2015 nahama nchi.
 
Back
Top Bottom