M4C-OPD: Picha toka Bunda kwa Stephen Wassira

Chadema Diaspora

JF-Expert Member
Oct 25, 2010
480
644
M4C-OPD: PICHA, ONLY PICHA! BUNDA KWA STEPHEN WASSIRA

Slaa Bunda.jpg
Maelfu wakimsikiliza Dr. Slaa akimnadi mgombea udiwani kata ya Nyasura, Bunda

Slaa Bunda1.jpg


Slaa Bunda2.jpg
Polisi wanatoa ushirikiano mzuri kabisa kwenye mkutano huu wa M4C-OPD


Slaa Bunda4.jpg
Dr. slaa akimnadi mgombea udiwani kata ya Nyasura, Bunda


Source: chademadiaspora
 
Mumejaza watoto wa shule, watu wazma wamekuja kumushangaa padri alievunja agano lake na Mungu maana walikuwa wanamusikia tu.
 
Omg Chadema....Chadema...Chadema....yatosha hebu tupieni na za wasira nasikia nae yupo huko guess he is watching this
 
Uwiiiiiiiiiii,mzeee wenu sijiwezi na rahaa .

Chadema ni mpango wa 'allah'

mafisadi wa c.c.yem mpooo ! Anzeni kutuandalia mafaili ya magogoni.

Dk.slaa ni ra.isi wangu toka leo!
 
Mikutano ya chadema ni kama kuhudhuria mnadani siku ya mnada

Fainali kupiga kura 2015 mtalia bandugu
 
Back
Top Bottom