M4C-OPD: Picha toka Bunda kwa Stephen Wassira

Pole na kazi mkuu GOOGLE na wenzako,
Buku7.jpg
Mumejaza watoto wa shule, watu wazma wamekuja kumushangaa padri alievunja agano lake na Mungu maana walikuwa wanamusikia tu.
 
Last edited by a moderator:
Jaamani hizi picha zigine msiwe mnaweka, sisi tunaoishi huku masaki nyumba za serikali Presha inashuka, Presha inapanda!
 
kwa heshima na taadhima naomba kuwe na operation kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura.yasije yakajitokeza ya Raila.moja ya sababu ya raila kushindwa ni kutokuhamasisha wale wanao muunga mkono na kuvimbiwa na umati wa watu.Kenyata alianza vizuri kwa kuliona hili.Ninaliona hili kama changamoto kwetu.vijana wahamasishwe kujiandikisha ni kuanzia wale ambao watatimiza umri wa kupiga kura
 
Hivi kwanini watu wanaichukia sana ccm siku hizi? Au ndo kusema ukweli umefunuliwa kwao
 
Chadema ikulu ni yetu kuanzia leo 2015 ni kukamilisha 2 na nyinyi mafisadi wa ccm mjiandae tieni maji wembe unakuja kuwanyoa mmetuchosha kwa kweli
 
Uwiiiiiiiiiii,mzeee wenu sijiwezi na rahaa .

Chadema ni mpango wa 'allah'

mafisadi wa c.c.yem mpooo ! Anzeni kutuandalia mafaili ya magogoni.

Dk.slaa ni ra.isi wangu toka leo!
mkuu kuitoa ccm inabidi tukeshe kwenye masanduku kama siku ile Lema alivyowafanya vibaya ccm arumeru,tukifuata ile sheria ya kukaa mita 200 tumeliwa
 
Mumejaza watoto wa shule, watu wazma wamekuja kumushangaa padri alievunja agano lake na Mungu maana walikuwa wanamusikia tu.

Kwa hoja kama hz huna hau deserve kujiita Google
Unaaibisha hilo jina
 
Kwa umati huu kama na sanduku la kura watajaza hivi kwenye uchaguzi wa mwaka 2015 ccm maji ya shingo!
 
Mumejaza watoto wa shule, watu wazma wamekuja kumushangaa padri alievunja agano lake na Mungu maana walikuwa wanamusikia tu.

he he he heeee tatizo ni elimu uliyonayo tazama maneno yako uliyoandika kweli wewe ni kada usiye na elimu unafuata mkumbo.
 
Back
Top Bottom