M4C-OPD: Picha toka Bunda kwa Stephen Wassira

sasa unataka kutudanganya kuwa huo ni umati. Picha ya kwanza na ya pili ni ileile umegeuka kidogo halafu ya tatu ukaenda upande wa pili. Uwanja wenyewe sio mkubwa nadhani hata biafra wa dar ni mkubwa. Nawe waona fahari kupigwa domokaya wakati wenzako wanaruka na chopa na wanalala hoteli kubwa kubwa kila mtu na wake....hebu tuone kama picha ndio tafsiri ya taswira...

we report, you decide
 
Mumejaza watoto wa shule, watu wazma wamekuja kumushangaa padri alievunja agano lake na Mungu maana walikuwa wanamusikia tu.

Hata Yesu, wapo walieonda kumshangaa, lakini ukweli ulibaki yeye ni Mwana wa Mungu na Masihi!
 
Sasa unataka kutudanganya kuwa huo ni umati. Picha ya kwanza na ya pili ni ileile umegeuka kidogo halafu ya tatu ukaenda upande wa pili. Uwanja wenyewe sio mkubwa nadhani hata biafra wa dar ni mkubwa. nawe waona fahari kupigwa domokaya wakati wenzako wanaruka na chopa na wanalala hoteli kubwa kubwa kila mtu na wake....Hebu tuone kama picha ndio tafsiri ya taswira...
Ahsante kwa kuliona hilo vizuri mkuu. Hawa chadema wataisoma namba siku ya tarehe 9/2/2014.
 
Chama Cha Mateja kitasalimika kweli? Dua yangu nimwombayo Mungu siku zote ni watu wote kujiandikisha na kwenda kuipigia kura cdm yangu I luv cdm soooooo much
 
Back
Top Bottom