M4C-OPD: Picha toka Bunda kwa Stephen Wassira

Nikiripoti kutoka Bunda, Mimi ni Jooooooooooooji Maratuuuuuuuu, wa Aitiiiviiiiiiiiii!

hahahaahahaaaahahahaha! Nimecheka sana mm na familia yangu, wanampenda huyu uliyemtaja na humuiga amalizapo kuripoti kihivyo!
 
Mumejaza watoto wa shule, watu wazma wamekuja kumushangaa padri alievunja agano lake na Mungu maana walikuwa wanamusikia tu.

Mbona mnaogopa kuboresha daftari kama hao ni watoto?
 
Tatizo la chadomo ni maneno mengi tu. Wingi wa watu kuja kusikiliza sio upigaji kura.
 
Mumejaza watoto wa shule, watu wazma wamekuja kumushangaa padri alievunja agano lake na Mungu maana walikuwa wanamusikia tu.
Aisee wewe nadhani utakuwa ni Kayembe Shentemba. Operesheni kimbunga ilikuacha kweli??
 
hahahaahahaaaahahahaha! Nimecheka sana mm na familia yangu, wanampenda huyu uliyemtaja na humuiga amalizapo kuripoti kihivyo!

Mkuu hata mimi mwanangu anampenda sana John Maratu. Ana miaka minne ila maratu akianza kutaja jina tu lazma amalizie nae. That guy ni mbunifu aisee.
 
Mikutano ya chadema ni kama kuhudhuria mnadani siku ya mnada

Fainali kupiga kura 2015 mtalia bandugu

Hata baadhi ya viongozi wa ccm hujifariji kwa maneno kama haya yako we kaa ukiisubiri hiyo siku ya uchaguzi,kumbuka daftari la wapiga kura litaboreshwa mapema kabla ya uchaguzi mkuu
 
Mumejaza watoto wa shule, watu wazma wamekuja kumushangaa padri alievunja agano lake na Mungu maana walikuwa wanamusikia tu.

Haaaaaaah haaaaah roho inakuuma sana najua,pole sana
 
Mumejaza watoto wa shule, watu wazma wamekuja kumushangaa padri alievunja agano lake na Mungu maana walikuwa wanamusikia tu.

wamekuja kwa nauli zao hawajasombwa na malori kama kawaida ya lumumba aka buku7.
 
Tatizo la chadomo ni maneno mengi tu. Wingi wa watu kuja kusikiliza sio upigaji kura.

mbona nyie huwa mnawasomba na malor na kuwavalisha tisheti na kanga...hao unaowaona wamekuja kwa nauli zao wenyewe!
 
MSALANI tuleteeni na za Wassira
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom