M4C-OPD: Ndani ya Manispaa ya Bukoba - Jan 26, 2014

Tatizo ni kwamba mmesahau kuwa hata 2005 na 2010 mikutano ya chadema ilikuwa inaongoza kuwa na watu wengi. Labda wanakuja kusikiliza mapya!!!? Kaaz kwel kwel

we umekuwa yahaya??? hizi ni zama tofauti, tunasubiri daftari liboreshwe tu tumalize kazi! magamba safari yenu ya kutoka muwapishe wazalendo wa nchi hii imeshawadia!!!
 
Bila kuboreshwa daftari la kudumu la wapiga kura huo UMATI wote ni BURE. Sijui kwanini CDM hawakomalii jambo hili. Mimi pamoja na kupiga kura 2010, lakini siwezi kupiga kura 2015 kwasababu kitambulisho changu cha mpiga kura nilishapoteza
 
nyie chadema si mnawatukana sana waislamu! kuna kamanda yoyote wa chadema asiewatukana waislamu? hebu angalia comment za makamanda hapa jf wanavyowatukana waislamu. bukoba ni ya waislamu sasa sijui mmeenda kufanya nini..mnautia najisi mji wetu

Bukoba haijawahi kuwa ya waislamu na haitakuwa ya waislamu, Bukoba haijawai kuwa ya wakiristo na haitakuwa ya wakiristo, Bukoba ni ya wahaya wote, Bukoba ni ya watanzania wote. Huu udini wenu pelekeni huko huko mlipozoea. Msituletee ubaguzi husio kuwa na kichwa la miguu. Wahaya tunajulikana Tanzania mzima kwa mshikamano wetu kamwe hizi fitina za udini haziwezi kututenganisha..'Bagambila bali insi bali iguru kuulila'
 
Naunga mkono hoja aliyesema ikibidi tuchangie hii operation isikome mpaka 2015 ntakuwa wakwanza kutoa mshahara wangu wa mwezi nasubiri number ya Mpesa toka makao makuu
 

Issue moja ya wazi ni kwamba Bukoba na Kagera kwa ujumla Waislamu ni jamii minority! Waislamu wamekua wanachaguliwa kwa sifa zao;si kwa dini yao! Mpaka hivi karibuni wanaharakati wa Kiislamu walipo haribu mahusiano mazuri baina ya dini hizi mbili.

Kwa hiyo bila unafiki chaguzi zetu zijazo zitaangalia sifa nyingine,dini ya mgombea! Mkawalaumu walio anzisha kampeni ya kuwatusi Wakristo na Imani yao!
 

mods tunaomba hii ipandishwe pale juu
 
Last edited by a moderator:
Ni jambo jema na la kutia moyo, chadema hakikisheni mnazunguka jimbo la mbinga mashariki kueneza sera za chama! Maeneo kama litembo,maguu, kingerikiti viongozi wa chadema hawajawahi kufika!
 

bukoba unaijua wewe?tuulize sisi wazawa...! hivi ni kwa nini lwakatare alivyogombea cuf akashinda ubunge.alivyohamia chadema akashindwa ubunge? watu wa bukoba ni wasomi huwezi kuwadanganya..bukoba tunajua chadema haiwapendi waislamu hata leo hii chadema ikisimamisha mgombea ubunge muislamu hawezi kushinda kwa sababu tu chama kimeonyesha mwelekeo wa ubaguzi...jitambue ndugu
 
Songeni mbele wakubwa zetu. Tuko psmoja.
 

Lol Peleka udini wako CCM.. Nuruga Bukoba Kyaro ki? Na je aliyeshinda ni Mbunge kutoka chama gani?
 
Kipimo kizuri cha ubashiri wa kukubalika na watu hakiwezi Kuwa hiki. Walio wengi hapo ni wakuja kuitaza chopa live na SI vinginevyo.
 
Lol Peleka udini wako CCM.. Nuruga Bukoba Kyaro ki? Na je aliyeshinda ni Mbunge kutoka chama gani?

chadema haiwezi kushinda ubunge bukoba. cuf na ccm ndio wana nafasi ya kushinda ubunge. laana ya ubaguz inawatafuna sana chadema
 
Hivi mdau ni wewe uliye meza kuu hapo juu? Uwa napenda article zako kumbe nawe ni M4C? Well basi chadema ina vichwa vizuri kama ni wewe!!

Mkuu,hata mimi namkubali sana Kamanda Mtoi,he is very bright at upstairs.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…