M4C-OPD: Ndani ya Manispaa ya Bukoba - Jan 26, 2014

M4C-OPD: Ndani ya Manispaa ya Bukoba - Jan 26, 2014

Mungi

JF Gold Member
Joined
Sep 23, 2010
Posts
16,975
Reaction score
9,580
Wakuu,

Nadhani tokea hii Operation ianze kadiri siku zinavyokweda watu wanazidi kuielewa CHADEMA kuwa kipo kwa ajili ya watanzania wote, huu umati wa Bukoba kwakweli ni funika haijawahi kutokea bukoba tokea mfumo wa vyama vingi uanze.

Ukweli ni kwamba hiki ni kiashiria kwamba watanzania wamechoka na utawala uliopo, hebu angalieni hizi picha hapa chini.
Katika mkutano wa Leo kilichowaacha wananchi midomo wazi ni pale Mbunge wa Arusha Mjini Mh. Godbless Lema aliposema kwamba "Kikwete ni rais wa kwanza nchi hii kwenda ulaya kuomba Kunde, huku kaacha dhahabu na almasi bongo".

Helcopter BK.jpg
umati wa watu ukishuhudia wakati helcopter ikitua
OPD - Lema & Mtoi.jpg
Meza kuu Kamanda Lema akibadilishana mawazo na Mohamedi Mtoi
OPD Bukoba.jpg OPD Bukoba1.jpg OPD Bukoba2.jpg OPD Bukoba3.jpg

Picha zote kwa hisani ya Mtu wa Tanganyika .......... peopleeeeezzzzzzz!!!!!
 
Pamoja 4life makamnda,waambie wanajimbo 2015 wana kazi moja tu ya kuiondoa CCM madarakani
 
Vp si jimbo lipo peupe tayari kuchukuliwa na CHADEMA? CDM 4EVER.
 
ukweli huchelewa lakini mwishowe hujulikana wala haufichiki.
 
Powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr! Simiyu Yetu na gambas nyingine na B7 company limited mpo
 
Last edited by a moderator:
aisee wakati wa ccm kukubali kuachia hii nchi kwa amani.. watu wameichoka tena xna.. nataman 2015 ifke haraka ukombozi wa pili upatkane
 
Ahsante Makanda kwa kutujuza.......Picha ni muhimu pia...

M4C-OPD with no apology..
 
YAANI nyie chadema huku tunawapenda mpaka tuna umwa,kikubwa sie tuna piga dua njema na maombi kwa sana hili ibilisi muovu na mipangp yake ikashindwe,hiki chama kita tuletea ukombozi wa mara ya pili kutoka kwa mkoloni mweusi CCM na mawaziri wao mizigo,mbarikiwe sana makamanda kwa kzi mnayo ifanya na MWENYEZI MUNGU awape ulinzi nyinyi pamoja na familia zenu
 
pipoz power mnaodai picha ndio hizo mnasema ni za 2010 sasa wekeni zenu za 2014 magamba mpo wapi ni presha tu na mawaziri wenu mizigo
 
chama cha mizigo bwana utakijua tu rasi ndio mwenyekiti wa chama chao ndie amir jeshi mkuu na bado analalamika kuwa ujangiri umemshinda kumbe ni dili za KINANA na wadosi na waarabu ambao ndio wafadhili wakuu wa ccm,sasa rais anaenda kweli ulaya kuomba KUNDE shame on you JK
 

  • Wakati chadema wanatumia bilioni 1.5 kurusha CHOPA TATU kwa muda wao wote wa operations Zitto Z Kabwe.....
    Mgombea wao wa UDIWANI kata ya SOMBETINI Arusha ndg Ally Bananga anahaha kuomba omba misaada ili aendeshe kampeni ........

    Ameweka namba yke ili atumiwe michango ... 0754962926.....

    Shame on you Chadema ya Slaa na Mbowe .....
 
Back
Top Bottom