M4C Mwendo Mdundo!!!

M4C Mwendo Mdundo!!!

Pale unapojikuta usiyempenda unalazimika kumuita kwa mahaba.....Imagine Traffic ameikamata Pikipiki hii na anaifungulia file, ataandikaje kwenye:

  1. Name..............???
  2. Type...............???
  3. Model..............????
  4. Owner..............????
  5. Oil Capacity.......???
  6. Engine Name......???

Kamata kitu cha M4C
attachment.php

attachment.php
 
ha ha ha chadema ni noma aiseee ccm wanalo hawa jamaa wanaweza chukua nchi
 
Kama nakumbuka pikpiki hizi zitapelekwa kwenye wilaya zote nchini.
 
Acheni kushabikia hata vitu ambavyo sivyo, sasa watawapa akina nani? Uharibifu tu wa ruzuku!

we UMEPOTEA NJIA? nenda kamshabikie bKIROBOTO bafuni akifuta mijadala na kukogesha wachafu.Mme-banwa angani na CHOPA na sasa mna mwagiwa ardhini na CHADEMOTOR CYCLE.Lazima Mlowane jipekue kama bado.
 
Pale unapojikuta usiyempenda unalazimika kumuita kwa mahaba.....Imagine Traffic ameikamata Pikipiki hii na anaifungulia file, ataandikaje kwenye:

  1. Name..............???
  2. Type...............???
  3. Model..............????
  4. Owner..............????
  5. Oil Capacity.......???
  6. Engine Name......???
VILAZA mpo wengi......,anyway tupo hapa kuwafumbua macho ila mkijifanya kina matonya kwa kupaka utomvu basi hilo ni lenu.swali lako limekaa kishamkupe unadhani hazitakuwa na mmiliki kama KILAZA alivyo ikana ile mitambo pale ubungo?.hayo yanatokea kwenu vilaza na DHAIFU wenu hauku kila kitu kipo.au neno CHADEMA ukiliona unabubujikwa na machozi kwa woga ufisadi utamalizwa?.kilaza nae yu kama wewe hivyo hivyo.
 
Si kawaida yangu kuwajibu watu wa aina yako, wasioelewa maana. Lakini leo inanibidi nivunje mwiko kwa kukujibu wewe usiyeelewa maana. pamoja na hayo, mwiko nisioweza kuuvunja ni kukutukana. Huo hata kwa upanga, huwezi kunisababishia Ban kwenye historia yangu ya kuwa hapa JF.

Maana ya posti yenyewe ilikuwa simpo, isiyokuwa na tusi wala kebehi:
  1. Name..............CHADEMA
  2. Type.. ............CHADEMA
  3. Model. ............CHADEMA
  4. Owner.. ...........CHADEMA
  5. Oil Capacity.......CDM 150
  6. Engine Name......M4C
Ungetumia akili kidogo sana kujiuliza na kung'amua kuna uhusiano gani kati ya Trafiki/Polisi (PoliCCM) na CHADEMA, CDM & CDM ungejiepusha na hii aibu!

Kuna ukweli uliowazi kuwa CHADEMA ina BAADHI ya wafuasi walijipofua macho na kujifunga nazi vichwani, wakiwaachia watu wachache jukumu la kuona na kufikiri badala yao. Na wengi wa hawa lililorahisi kwao ni kudandia mada, kukosoa kwa kupayuka payuka tu bila kupendekeza suluhisho na kutukana. Na mwisho wanataka waitwe Great Thinkers!
 
:majani7::majani7::majani7:CCM puresha inapanda inashuka!!:majani7::majani7::majani7:

Nimefurahi sana kuona hii, sasa mapambano ndio yanaanza kwa awamu nyingine.

Nawaonea huruma magamba kwa jinsi tutakavyo washughulikia huko site, hakuna rangi wataacha kuiona.

Haishuki wala kupanda inaelekea upande mmoja tu. kama ni kushuka inazidi kushuka
 
MHHHH pikipiki!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Poleni wazalendo wenzangu mtakao ingia kichwa kichwa kuzitumia..,mvua, jua na umafia mtafanyiwa ninyi. WAO narudia tena WAO

Wana shangingi na viyoyozi huku wakibaki kulindana kwa maovu yao...na sisi wa chini ambao ni wazalendo wa kweli tukionesha maovu yetu kdg tu tunafutwa uwanachama.

Akili ni yako kukubali kuwa mgongo wa maisha ya wengine au kwenda kwa step na wewe na Pikipiki hizo.
 
Wewe ni sawa na wale Wadudu wanao kuwa Kwenye Msafara Wa Mamba, yaani wal
e wadudu ndo wewe
 
Nia na uwezo wa kuchukua nchi tunao.!
 
Makamanda Huku Kigoma balaaaaaaa!!!!!

....asee majangili wooooooooooooote wameitana kutazama TUKIO mfano wa mkutano wamekusanyika kwenye pc ya mlumumba pale Kigoma mfano wa kutazama fainali ya kombe la Dunia nasikia watatu wamezimia....

nasikia zinaitwa..... FASTA FASTA ...
KAMATA JANGILI men....SIO BODA BODA

MAPICHA NITAWATUPIA stay tuned on Jamiiforums. com
 
MHHHH pikipiki!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Poleni wazalendo wenzangu mtakao ingia kichwa kichwa kuzitumia..,mvua, jua na umafia mtafanyiwa ninyi. WAO narudia tena WAO

Wana shangingi na viyoyozi huku wakibaki kulindana kwa maovu yao...na sisi wa chini ambao ni wazalendo wa kweli tukionesha maovu yetu kdg tu tunafutwa uwanachama.

Akili ni yako kukubali kuwa mgongo wa maisha ya wengine au kwenda kwa step na wewe na Pikipiki hizo.
duh mtima wa nyongo tema basi ili upone
 
Bora CCM viongozi na wapiga kura wao wote wanamashangingi yenye viyoyozi,tena wakiumwa wanaenda kutibiwa india.
 
Back
Top Bottom