Acheni kushabikia hata vitu ambavyo sivyo, sasa watawapa akina nani? Uharibifu tu wa ruzuku!
Zipo pikipiki ngapi? utaratibu wa mafuta utakuwaje? Nina wasi wasi zitakuwa boda boda ili ziweze kujiendesha!!!
tetesi zito kufanya maamuzi mazito leo yuko jimboni mwake (raia mwema)
Yaani hiii nimeipenda sana, hapo magamba wakiona ivo mhm matumbo joto!!!
tetesi zito kufanya maamuzi mazito leo yuko jimboni mwake (raia mwema)