Curriculum Specialist
JF-Expert Member
- Oct 8, 2007
- 2,732
- 750
Hii ni Baaab kubwa!
Acha Gambaz watengeneze zile raba na yeboyebo!
![]()
![]()
![]()
Nani atauza hayo maji na viatu! Labda watoe bure maana hazina wateja! Watatumia viongozi wenyewe!
Hii ni Baaab kubwa!
Acha Gambaz watengeneze zile raba na yeboyebo!
![]()
![]()
![]()
Kamata kitu cha M4C
![]()
![]()
tetesi zito kufanya maamuzi mazito leo yuko jimboni mwake (raia mwema)
Wakiambiwa watu wamejipanga kuchukua nchi hawaamini waone kwa macho yao"
Magamba bhana hivi akili zenu zimedumaa kiasi hiki kweli?Wewe unaona hii ni uharibifu wa ruzuku lakini huoni kodi zetu zinavyoliwa...hivi vyombo hapa ndio mtakaa tutafika mpaka uvunguni mwa kitanda kutoa elimu ya ukombozi,hakika mmeshikwa na kama mlifikiri Chadema inatishia nyau ni pale mtakapojikuta jela mafisadi woteeee!!!!Acheni kushabikia hata vitu ambavyo sivyo, sasa watawapa akina nani? Uharibifu tu wa ruzuku!
Moja atapewa Le Mutuz