Mkuu acha jazba,huyu anataka kuelimishwa!Kwahiyo unatakaje sasa ?!
We jamaa utakuwa ni mwanajeshi halafu hapo ukiandika hii comment utakuwa umelewa pombe na bangi! Maana sijui hasa unataka kusema nini?!? Mara m4c Mara kagame akibeep, n.k
.. HAKUNA ANAYEPENDA VITA, we all need to live in peace, love, unity (as Africans) and finally in prosperity. GOD Has endowed us with lots of natural resources in Africa, lakini badala ya kukaa kwa amani na kushirikiana of how to exploit the resources for the benefits of the continent tunachojua ni kuwa war mongers, kuwa na dreams za kutawala Great Lakes Region....we wont get anywhere, instead it will be just an opportunity for the westerners to benefit from our resources!...TZ has lots of resources, Rwanda u got nice National Parks like Nyungwe Forest, Volcano NP; DRC is the most blessed; Uganda is in the line with oil and many other things; SO WE NEED TO SPEND TIME THINKING OF HOW TO UTILIZE THESE RESOURCE instead of ending up insulting each other here, calling people names like interahamwe.....!umenena vyema tokea mwanzo....kweli kabisa vita si mchezo aisee wenye tumeonja vita hatupendisikia kitu kama hicho...ila sasa brother baada ya maneno mekundu sijaelewa
Eee Mwenyezi Mungu mwingi wa fadhila nakuomba uwafunulie Hili jeshi LETU liweze kujua weredi wao na kiapo chao maana nawenywe sasa hivi wanaanza kuwa kama vijana wa IGP TUSIMAME WOTE KULIOMBEA MI NIMEANZAView attachment 104740
FREEMASON !!:bored:
Usione Simba kalala ukadhani ni Nyani yule.
Wewe Mtusi, Kaa kimya. Tena hivi mnavyoendelea ndio mnazidi kututia hasira. Wimbo mbaya habembelezewi mtoto, Kma hamuijuwi Tanzania mtaijuwa Tanzania.
With friends like you JW does not need enemies.Mungu hadhihakiwi ndugu yangu, unavaa MLEGEZO harafu unaenda mbele za Mungu!!!! Tunamkosea heshima kabisaaa.
Kibaraka wa Dikteta nduli Kagame wewe, mmekalia chuki za kijinga, watu msio na shukrani nyinyi mabedui, mafedhuli na mtashindwa. Sisi tunayokazi moja tu mkijiingiza mtegoni, ni kuuwa JOKA la kigali na kuweka utawala mpya Rwanda, utaoishi na sisi kwa amani, FULLSTOP. Kuhusu haya maCCM majizi, mfisadi na maporaji, isiwe sababu ya nyinyi kupenyeza ajenda zenu TANZANIA.
USINIZOEE kiazi WEWE, KAZI YANGU INAKUHUSU NINI. WEWE KAMA UNAFIKIRI TANZANIA TUMEKOSA UZALENDO ILI MTUVAMIE NA MTUSUMBUE BASI JARIBUNI. Jakaya kasema tayari, Mwamunyange kasema na mimi niko tayari...GUSA MNASE. Mwambieni aliowatuma toka kigali, TANZANIA SIO CONGO, na KIKWETE SIO KABILA. Tutawatembezea Vyuma nchi nzima mpaka kitaeleweka, TUKO TAYARI.
tatizo lenu warwanda akili zenu ziko nusu kama za rais wenu kagame.We sema ivo ivo hawatakuwepo huko vitani! We jiulize wenzako wamekufa saba na wengine kibao hali mbaya juzi dafur ina
maana wenzako hawakupiga japo mmoja tu?
Acha unafiki hiyo picha ya huyo mjeda unaiona au unaleta bange tu!