M23 Vs TPDF Dalili za mvua ni mawingu

M23 Vs TPDF Dalili za mvua ni mawingu

Uliza dogo ujibiwe,unadhani nyie wendawazimu mnaweza kutubabaisha sisi?yatakuwa maajabu ya dunia,na haitatokea kamwe.

Sasa hivi unawaita wanao kataa msimamo wa kivita "wendawazimu" lakini "red brigade" hamchelewi kukishutumu kuwa Chombo cha vita ...!???? Mpenda vita ni nani sasa?
 
Nyie pigeni kelele mwisho wa siku mtajuwa kuwa Tanzania ya leo ina kiongozi mwanajeshi si mtakuja kuona Kagame na m7 wanavyoondoka kiulaaaini

Unahakika na unachokisema? Au umesahau kagame na m7 waliingiaje madarakani? ..... hili la "nani mwanajeshi" au "nani siye" siyo la tija la msingi ni AMANI km tunaanini majibu ya kagame kwa rais Kikwete yanatosha kuwa vita hakuna sababu ya ku-sita sita twende vitani mara mmoja ...!
 
Hapana hatuna hamu na vita! Ila majirani ndio wanahamu ya vita. Kuhusu Malawi wao ndio wanatujaribu maana watanzania hatuwezi kukubali kwamba tuwe tunaomba visa ya malawi tunapotaka kuogelea ziwa nyasa. Kwa upande wa kagame sie hatuna shida maana sioni kosa la JK hata kidogo. JK kashauri kitu ambacho kiko wazi kabisa kwa hiyo kama kagame hataki alitakiwa akatae ushauri. Kagame hawezi kumpangia kikwete kitu cha kushauri na kama sasa anataka kumnyamazisha kikwete kwa nguvu basi hapo vita havikwepeki maana kagame anadhani TZ ni kama Congo sasa ili kumfanya ajue tofauti kati ya TZ na Congo hatuna jinsi ispokuwa kufanya kile tunachoona ni sahihi anachokiona sio sahihi.
wapo watu wachache ambao wanaona ufahari wa vita.sawa kagame cyo mtu mzuri lkni isiwe sababu mbona aliyekuwa raisi wa america george bush alitukanwa na raisi wa venezuela marehem chaves lakini america hawakutakakupigana na venezuela.tuache hizo .maisha ya watz ni magumu bila hta vita hayo mawazo ya vita yacwepo labda ikifka point ambayo haina budi
 
Eti niulize tu jamani labda mimi mgeni au sijui....ni kwamba Tazania tuna hamu ya vita au? Maana naona Tunazidi kuwa na maadui ..Mara leo Malawi mara Kesho Rwanda sijui Keshokutwa itakuwa nani?
Hamu ya vita???mmm!sidhani ila kwa taarifa yako tu kama ni dereva unaendesha gari yako barabarani kwa kuzingatia sheria za usalama barabara unaweza kuepuka ajari lakini madereva wanywa viroba wanaweza kukusababishia ajari ukaingia matatizoni.unaweza kutopenda vita lakini mwendawazimu mmoja akakuchokoza hadi kufikia hatua ya kupigana.
 
wapo watu wachache ambao wanaona ufahari wa vita.sawa kagame cyo mtu mzuri lkni isiwe sababu mbona aliyekuwa raisi wa america george bush alitukanwa na raisi wa venezuela marehem chaves lakini america hawakutakakupigana na venezuela.tuache hizo .maisha ya watz ni magumu bila hta vita hayo mawazo ya vita yacwepo labda ikifka point ambayo haina budi
Dubu,hakuna kitu kinaitwa fahari ya vita,wala mimi na wewe hatuna uchaguzi wa tupigane au tusipigane na nani.Tofauti na nchi kama ambayo umeitaja Raisi anategemea uungwaji mkono kwenye mabunge yao ili kuanzisha VITA,ulimsikia raisi aliyechaguliwa baada ya kifo cha Chaves?alisema wanawasiwasi kifo cha kiongozi wao kinaweza kuwa na mkono wa mtu na kwamba watafanya uchunguzi unadhani alikuwa anamlenga nani???Ukumbuke pia kuwa Raisi ni amiri jeshi mkuu akijenga hoja vizuri akawaita wazee wa mkoa wa dar kesho yake vita hiyoo haijalishi unapenda au la.Raisi kutukanwa ni kuvuliwa nguo mbele ya watu wake sasa inategemea wengine wavumivu na wengine ni wepesi kurusha ngumi.umesahau PK alisema anasubiri wakati mwafaka amu hit JK mwenzio anakupigia hesabu wewe unabaki umelala.
 
@Ruzibiza naona ndoto zako hazina tofauti na mtutsi yeyote kuwa JWTZ ni ya kuchezea km hapo MP alipopumzika baada ya kiroba cha konyagi sasa chezeeni moto km wote hatukueleke hapo Rwanda badala ya DRC. Hao tu wa DRC wameshawashinda mnaanza kunywea na kujipa Moyo TAFADHALINI MUONDOKE SASA TZ

safi sana , ikiuwa kwa upanga nawe utamalizwa kwa upanga! ukombozi kamili utakuwa bado kabisa bila kukamatwa na kunyongwa hadharani dikteta kagame!
 
Kibaraka wa Dikteta nduli Kagame wewe, mmekalia chuki za kijinga, watu msio na shukrani nyinyi mabedui, mafedhuli na mtashindwa. Sisi tunayokazi moja tu mkijiingiza mtegoni, ni kuuwa JOKA la kigali na kuweka utawala mpya Rwanda, utaoishi na sisi kwa amani, FULLSTOP. Kuhusu haya maCCM majizi, mfisadi na maporaji, isiwe sababu ya nyinyi kupenyeza ajenda zenu TANZANIA.
Umenena mkuu. Hao wana uzalendo wa kimbari. Tukijiandaa kumbonda huyo nduli tujue ana vibaraka na majasusi kibao.
 
Nakuapia haki ya nani !!, Ungekuwa karibu hapa ningeku*o#*?!;*!@o%* mpaka ukome.

Vita unavijuwa wewe? Au hivi vita vya maneno unavifananisha na vile vya juzi walivyowatawanya kama kuku pale Darfur!
Kawaulize wale wenzio waliojeruhiwa ndo utaona utamu wa risasi ikiingia mwilini.
 
Hii nchi, ina watu waliojitolea kuifia kwa kuitetea. Wakati wowote, saa yeyote, sekunde yeyote, nukta yeyote. wewe unadhani hawapo sio?. Hata mimi nipo tayari, kujiunga na hao watu kuilinda nchi hii dhidi yenu nyinyi, IKIBIDI.
 
Kwani TPDF wapo Kigali? Inaelekea watu wengi hawajui vikosi vya Tanzania vimeenda wapi na kufanya nini, na kauli ya Kagame ndio imewachanganya kabisa watu wengine kiasi kwamba wanajua Tanzania imeenda kupigana na Kagame!
.....................m23 ni jeshi tanzu la kagame, kwa hiyo ukipigana nao ume........................
 
Hii nchi, ina watu waliojitolea kuifia kwa kuitetea. Wakati wowote, saa yeyote, sekunde yeyote, nukta yeyote. wewe unadhani hawapo sio?. Hata mimi nipo tayari, kujiunga na hao watu kuilinda nchi hii dhidi yenu nyinyi, IKIBIDI.

Uliza kama kuna mtoto wa fisadi yoyote unayemjuwa huko unakodhani wamejitolea kulinda nchi! We kama tonge linakwenda kinywani shukuru. Usiombee vita ndugu yangu.
 
Hao mafisadi hipo njinsi ya kupambana nao. Na wala mimi sibishi kuwa wapo. Kama wangekuwa hawapo nchi hii ingekuwa sawa na Botswana kiuchumi. Na CCM ndio wanaolea mambo haya kwa maslai yao na familia zao. Mimi binafsi sina imani nao hata chembe. LAKINI Uzalendo wangu huko palepale siwezi saliti TANZANIA hata wanifanyeje, kwani najua hipo siku watatoka tu madarakani hao mafisadi na kizazi chao. HAKIKA NAKWAMBIA kusaidia DRC ina faida kwetu tena kubwa siku za mbeleni. Wakifanikiwa kuigawa DRC na kuchukuwa sehemu yake, watatumia uzoefu huo kutugawa sisi na kuchukuwa sehemu yetu. Kumbuka, Kagame pale anatengeneza uzoefu mkubwa kwake na kwa watu wake utakao kuja kusumbua Afrika ya Mashariki siku za baadae tena hasa TZ. Wakati wewe unatizama warembo, pombe, wenzako wanaangalia masafa marefu kwa darubini kali jinsi watakavyo kitawala kizazi chako au hata wewe mwenyewe kama bado utakuwa hai. Usomi sio kuangalia uchumi wa leo tu na maisha ya leo tu AU kuogopa Kufa. Bali pia kuambalia Ulinzi na Usalama wa nchi hii miaka mingi ijayo wewe utakapokuwa haupo. AMINI NAKWAMBIA Wakenya ni wazalendo sana kwa nchi yao, mambo yote yahusuyo Ukenya wao wanayatizama kwa darubini kali. Sio sisi Watz hata, sijui tumelogwa na nini, sijui mwenge sijui nini....!!!!!!!. SASA KUTOKANA NA JINSI TULIVYO tusipo angalia miaka ya baadae watoto wetu au sisi wenyewe tutakuja kutawaliwa na wageni AU Nchi hii kumegwa na majirani zetu. Mimi nadhani hata Kikwete haya mawazo si yake ni Mungu tu kayapitisha kwake, Ugomvi na Kagame ni njia tu. TANZANIA KWANZA, AFRIKA MASHARIKI INAFUATA.
 
......hakuna mtu ana kufa mara mbili !...na mtoto wa fisadi si malaika, anaweza kuuliwa kwa pombe au madawa ya kulevya. Huwezi kujenga taswira ya Taifa kubwa, lenye kuheshimika na lenye umoja kama mnatukanwa na wilaya kama Malawi na Rwanda halafu una mbwela mbwela.

Hawa ni wa kuwagonga gonga makwenzi mpaka waelewe somo !

Kuna Mtu mmoja alikuwa anaitwa General Nichombero, kutoka huko huko kwa Watutsi na wa Hutu, alimchokoza Nyerere, na Mwalimu alimpiga Makombora (vita) kwa dakika 45 tu, akaomba suluhu. Kama hujui hicho kisa uliza.

Taifa kama Tanzania haliwezi kubezwa bezwa na irresponsible person kama Kagame !
 
Umenena vema tatizo unaimba kijamaa unacheza kibepari. ushawahi kupigana vita?
 
Vita unavijuwa wewe? Au hivi vita vya maneno unavifananisha na vile vya juzi walivyowatawanya kama kuku pale Darfur!
Kawaulize wale wenzio waliojeruhiwa ndo utaona utamu wa risasi ikiingia mwilini.

........wewe ni mtoto wa kike nini !?........hivi JWTZ unafikiri wanafundishwa kukaanga maandazi !

Wanafundishwa kupigana vita na kulinda nchi na mipaka yake. Kufa ni sehemu ya Vita.

Kifo kinakufuata popote.
JWTZ imepigana Msumbiji (Vita ikipiganishwa na Ngwilizi na Mwamunyange akiwa ni miongoni mwa makamanda), Angola, wakisaidiana na Wacuba, Namibia (pia Wacuba walishiriki) South Africa, Zimbabwe, Sheli Sheli enzi za akina Albert Renee', Congo DRC ya Desire Kabila- akisaidiwa na Makambanda wastaafu na hivi karibuni Ngazija ya Abdallah Sambi.
 
Umenena vema tatizo unaimba kijamaa unacheza kibepari. ushawahi kupigana vita?

Wapo wenye hiyo kazi yao !

Tatizo una akili za kiraia raia ndo maana huelewi kitu, laiti ungepita JKT ungekuwa na uelewa kidogo na ujinga wa kiraia ungekutoka.
 
......hakuna mtu ana kufa mara mbili !...na mtoto wa fisadi si malaika, anaweza kuuliwa kwa pombe au madawa ya kulevya. Huwezi kujenga taswira ya Taifa kubwa, lenye kuheshimika na lenye umoja kama mnatukanwa na wilaya kama Malawi na Rwanda halafu una mbwela mbwela.

Hawa ni wa kuwagonga gonga makwenzi mpaka waelewe somo !

Kuna Mtu mmoja alikuwa anaitwa General Nichombero, kutoka huko huko kwa Watutsi na wa Hutu, alimchokoza Nyerere, na Mwalimu alimpiga Makombora (vita) kwa dakika 45 tu, akaomba suluhu. Kama hujui hicho kisa uliza.

Taifa kama Tanzania haliwezi kubezwa bezwa na irresponsible person kama Kagame !

Nyerere alikuwa Amiri kwelikweli, hawa wachumba wengine wataishia kupunga mkono uwanja wa taifa tu, heshima hiyo haipo tena siku hizi tanzania inaongozwa na "wavuta bangi, Nyerere akasahihishwa kidogo, na wauza bangi".1995. dar es salaam.
 
Hao mafisadi hipo njinsi ya kupambana nao. Na wala mimi sibishi kuwa wapo. Kama wangekuwa hawapo nchi hii ingekuwa sawa na Botswana kiuchumi. Na CCM ndio wanaolea mambo haya kwa maslai yao na familia zao. Mimi binafsi sina imani nao hata chembe. LAKINI Uzalendo wangu huko palepale siwezi saliti TANZANIA hata wanifanyeje, kwani najua hipo siku watatoka tu madarakani hao mafisadi na kizazi chao. HAKIKA NAKWAMBIA kusaidia DRC ina faida kwetu tena kubwa siku za mbeleni. Wakifanikiwa kuigawa DRC na kuchukuwa sehemu yake, watatumia uzoefu huo kutugawa sisi na kuchukuwa sehemu yetu. Kumbuka, Kagame pale anatengeneza uzoefu mkubwa kwake na kwa watu wake utakao kuja kusumbua Afrika ya Mashariki siku za baadae tena hasa TZ. Wakati wewe unatizama warembo, pombe, wenzako wanaangalia masafa marefu kwa darubini kali jinsi watakavyo kitawala kizazi chako au hata wewe mwenyewe kama bado utakuwa hai. Usomi sio kuangalia uchumi wa leo tu na maisha ya leo tu AU kuogopa Kufa. Bali pia kuambalia Ulinzi na Usalama wa nchi hii miaka mingi ijayo wewe utakapokuwa haupo. AMINI NAKWAMBIA Wakenya ni wazalendo sana kwa nchi yao, mambo yote yahusuyo Ukenya wao wanayatizama kwa darubini kali. Sio sisi Watz hata, sijui tumelogwa na nini, sijui mwenge sijui nini....!!!!!!!. SASA KUTOKANA NA JINSI TULIVYO tusipo angalia miaka ya baadae watoto wetu au sisi wenyewe tutakuja kutawaliwa na wageni AU Nchi hii kumegwa na majirani zetu. Mimi nadhani hata Kikwete haya mawazo si yake ni Mungu tu kayapitisha kwake, Ugomvi na Kagame ni njia tu. TANZANIA KWANZA, AFRIKA MASHARIKI INAFUATA.

Moja ya Taifa Kubwa Afrika (kieneo na kirasili mali kwa uchumi) ni Sudan !

Angalia jinsi inavyofanyiwa fitna kuigawa gawa kwa ajili ya kuidhulumi rasimali na kuipunguza nguvu.
Kusini imemegwa (kuna Mafuta) na Darfur iko mbioni kumegwa (kuna mafuta) na Darfur ina ukubwa sawa na Ufaransa. Kisingizio ni Demokrasi !
 
Nyerere alikuwa Amiri kwelikweli, hawa wachumba wengine wataishia kupunga mkono uwanja wa taifa tu, heshima hiyo haipo tena siku hizi tanzania inaongozwa na "wavuta bangi, Nyerere akasahihishwa kidogo, na wauza bangi".1995. dar es salaam.

......hayo ni maneno ya sio na adabu na utovu wa nidhamu, inawezeka mvuta bangi ni wewe ! You dont know what your standing for !?

Sasa hivi Nchi inaongozwa na Mjeshi (Luteni Kanali Mstaafu) na huwezi kuwa Mwanjeshi kama vile kugombea Ubunge.

Wewe unajuwa nini kuhusu Jeshi mpaka umuone Nyerere kuwa alikuwa ni kamanda aliye kamilika ?

Wewe binafsi umefanya hata mafunzo ya Mgambo !/ ...unajua kufunga na kufungua SAR na SMG ?
 
Back
Top Bottom