M23 Vs TPDF Dalili za mvua ni mawingu

M23 Vs TPDF Dalili za mvua ni mawingu

Moja ya Taifa Kubwa Afrika (kieneo na kirasili mali kwa uchumi) ni Sudan !

Angalia jinsi inavyofanyiwa fitna kuigawa gawa kwa ajili ya kuidhulumi rasimali na kuipunguza nguvu.
Kusini imemegwa (kuna Mafuta) na Darfur iko mbioni kumegwa (kuna mafuta) na Darfur ina ukubwa sawa na Ufaransa. Kisingizio ni Demokrasi !

Museven ndiye aliye saidia S.Sudan kujitenga, Skeleton Kagame nae anasaidia Kivu kujitenga na DRC. Sasa hivi imeshadhihirika hata TZ watakuja siku za baadae. Hawawezi kupeleka makalio yao Kenya lazima waje hapa tu. Sisi si ndio wadhaifu, Nchi gani nyingine duniani unaweza kuingia huku unaswaga ng'ombe !!!!!!?... HAKUNA NAKWAMBIA HAKUNA. Wazalendo tumebaki wachache ila tu hatuna madaraka.
 
Hao mafisadi hipo njinsi ya kupambana nao. Na wala mimi sibishi kuwa wapo. Kama wangekuwa hawapo nchi hii ingekuwa sawa na Botswana kiuchumi. Na CCM ndio wanaolea mambo haya kwa maslai yao na familia zao. Mimi binafsi sina imani nao hata chembe. LAKINI Uzalendo wangu huko palepale siwezi saliti TANZANIA hata wanifanyeje, kwani najua hipo siku watatoka tu madarakani hao mafisadi na kizazi chao. HAKIKA NAKWAMBIA kusaidia DRC ina faida kwetu tena kubwa siku za mbeleni. Wakifanikiwa kuigawa DRC na kuchukuwa sehemu yake, watatumia uzoefu huo kutugawa sisi na kuchukuwa sehemu yetu. Kumbuka, Kagame pale anatengeneza uzoefu mkubwa kwake na kwa watu wake utakao kuja kusumbua Afrika ya Mashariki siku za baadae tena hasa TZ. Wakati wewe unatizama warembo, pombe, wenzako wanaangalia masafa marefu kwa darubini kali jinsi watakavyo kitawala kizazi chako au hata wewe mwenyewe kama bado utakuwa hai. Usomi sio kuangalia uchumi wa leo tu na maisha ya leo tu AU kuogopa Kufa. Bali pia kuambalia Ulinzi na Usalama wa nchi hii miaka mingi ijayo wewe utakapokuwa haupo. AMINI NAKWAMBIA Wakenya ni wazalendo sana kwa nchi yao, mambo yote yahusuyo Ukenya wao wanayatizama kwa darubini kali. Sio sisi Watz hata, sijui tumelogwa na nini, sijui mwenge sijui nini....!!!!!!!. SASA KUTOKANA NA JINSI TULIVYO tusipo angalia miaka ya baadae watoto wetu au sisi wenyewe tutakuja kutawaliwa na wageni AU Nchi hii kumegwa na majirani zetu. Mimi nadhani hata Kikwete haya mawazo si yake ni Mungu tu kayapitisha kwake, Ugomvi na Kagame ni njia tu. TANZANIA KWANZA, AFRIKA MASHARIKI INAFUATA.



well said mkuu, be blessed kwa kumuelimisha huyo kijana na wengineo wasio wazalendo na nchi Yao.mawazo yao ni kula,kunywa, na kulala tu .
 
Mimi nafikiri busara ni muhimu itumike. Kutoa ushauri si dhambi hata kidogo. Tuwe wakweli kuna baadhi ya watu na makabila ni arrogant. Kagame awe mstaarabu. Kwa hili kwa kweli niko nyuma ya JK. Ukorofi haulipi.
 
Wewe ndugu unayejiita Chizi Fureshi unajua mziki wa wenye kofia za hiyo rangi unaowaita wacheza ndomboro? au unataka kupata uhakika indirectly?
 
The way you choose those pictures is subjective and biased! Why can't you put the current pictures of TPDF troops in DRC?. Are you realy a great thinker or ........!

Katumwa na lengo lake limetimia...aende wakampe jiwe 1 la gold za DRC.
 
Umekalia sound tu! Watu kama ninyi huwa kwa kusimulia mambo ya watu hamjambo, sema wewe binafsi ulipigana vita gani kati ya ulivyotaja. Huyo Mwamunyange mweyewe hajawahi!

Kama nakutia mikononi mwangu wewe...!!.
Ungejuta..!. Hivi hata JKT umepitia kweli wewe?!!!. Kwanza huna uzalendo, pili unakashifu makamanda !!!. Wewe!!!.. wewe!!!...
 
umenena vyema tokea mwanzo....kweli kabisa vita si mchezo aisee wenye tumeonja vita hatupendisikia kitu kama hicho...ila sasa brother baada ya maneno mekundu sijaelewa
RAHISI,,WALOSEMA VITA HAVINA MACHO WALIMAANISHA WANAOPIGANA SI WANAJESHI TU,,HATA WEWE UNAWEZA TUPIWA BOMU,,,UKIFA UNAFIKILI ACC YAKO ITAKUWA ACTIVE?KO JUA VITANI KUNA WAPIGANAJI,NA WANAOPIGWA INGAWA SI WAPIGANAJI KAMA WEWE NA YULE:A S-fire1:
 
Nyie pigeni kelele mwisho wa siku mtajuwa kuwa Tanzania ya leo ina kiongozi mwanajeshi si mtakuja kuona Kagame na m7 wanavyoondoka kiulaaaini

Rafiki,.hatutaki vita. Kwenye vita hata kama ushindi utapatikana bado hasara inakuwa ni kubwa mno.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Museven ndiye aliye saidia S.Sudan kujitenga, Skeleton Kagame nae anasaidia Kivu kujitenga na DRC. Sasa hivi imeshadhihirika hata TZ watakuja siku za baadae. Hawawezi kupeleka makalio yao Kenya lazima waje hapa tu. Sisi si ndio wadhaifu, Nchi gani nyingine duniani unaweza kuingia huku unaswaga ng'ombe !!!!!!?... HAKUNA NAKWAMBIA HAKUNA. Wazalendo tumebaki wachache ila tu hatuna madaraka.
kweli ila Punguza ukali tujadili
 
Back
Top Bottom