Eti niulize tu jamani labda mimi mgeni au sijui....ni kwamba Tazania tuna hamu ya vita au? Maana naona Tunazidi kuwa na maadui ..Mara leo Malawi mara Kesho Rwanda sijui Keshokutwa itakuwa nani?
The way you choose those pictures is subjective and biased! Why can't you put the current pictures of TPDF troops in DRC?. Are you realy a great thinker or ........!
Kibaraka wa Dikteta nduli Kagame wewe, mmekalia chuki za kijinga, watu msio na shukrani nyinyi mabedui, mafedhuli na mtashindwa. Sisi tunayokazi moja tu mkijiingiza mtegoni, ni kuuwa JOKA la kigali na kuweka utawala mpya Rwanda, utaoishi na sisi kwa amani, FULLSTOP. Kuhusu haya maCCM majizi, mfisadi na maporaji, isiwe sababu ya nyinyi kupenyeza ajenda zenu TANZANIA.
Eee Mwenyezi Mungu mwingi wa fadhila nakuomba uwafunulie Hili jeshi LETU liweze kujua weredi wao na kiapo chao maana nawenywe sasa hivi wanaanza kuwa kama vijana wa IGP TUSIMAME WOTE KULIOMBEA MI NIMEANZAView attachment 104740
Kwani TPDF wapo Kigali? Inaelekea watu wengi hawajui vikosi vya Tanzania vimeenda wapi na kufanya nini, na kauli ya Kagame ndio imewachanganya kabisa watu wengine kiasi kwamba wanajua Tanzania imeenda kupigana na Kagame!tamko kali? Hivi wewe ni mwanajeshi? au? Vaa gwanda uende Kigali mwanangu, make una machungu na mkali wa vita
Mods ni vema kama mkaifuta hii Thread maana huyu mtu hastahili hata kuwepo hapa Jf.
umenena vyema tokea mwanzo....kweli kabisa vita si mchezo aisee wenye tumeonja vita hatupendisikia kitu kama hicho...ila sasa brother baada ya maneno mekundu sijaelewaTatizo la vita tukishindwa au tukishnda hasara inabakia palepale cha msingi ni kuomba hili zogo liishe kishkaji tuu na si vinginevyo,,,acc nyingi humu zinaweza bakia hazina wenyewe,kwa sababu ya mkong'onto bila kujali tumeshindwa au tumeshinda
Wewe KALISA, hakuna suala la eti kupenda vita sujui nini!!, mimi nazungumzia kulinda nchi kutoka nnje kwa watawala wauaji. Kwa huku ndani ni kubanana mbavu mtindo mmoja kama wafanyavyo Chedema, yaani M4C nami nawaunga mkono. Hivi unafikiri kama wakitupima nguvu na kukuta TZ ni mdebwedo unazani si tumekwisha!! au ulielewi hilo. Waulize DRC, SASA AKIBIIPU, ANAPIGIWA NA VOCHA ZA KUTOSHA. Wengi hamjui tu!, Kagame mbona mwepesi sana, kama hamuamini ngoja ahatalishe usalama wa nchi hii.
That is to be expected from a petty , small time thinker.The way you choose those pictures is subjective and biased! Why can't you put the current pictures of TPDF troops in DRC?. Are you realy a great thinker or ........!