M23 Vs TPDF Dalili za mvua ni mawingu

M23 Vs TPDF Dalili za mvua ni mawingu

We sema ivo ivo hawatakuwepo huko vitani! We jiulize wenzako wamekufa saba na wengine kibao hali mbaya juzi dafur ina
maana wenzako hawakupiga japo mmoja tu?

Uliza dogo ujibiwe,unadhani nyie wendawazimu mnaweza kutubabaisha sisi?yatakuwa maajabu ya dunia,na haitatokea kamwe.
 
Mwuungwana aliyeonja vita kwa kawaida hapendi vita irudi..Mtu aliyeonja vita na madhara yake na bado akataka vita irudi ana ajenda za siri.. Tena siri kuu!! Na hizi ni siri za uporaji au kiwingu cha kutokomea mbali na mali kama alivyofanya Iddi Amin Dadaah!
 
eti niulize tu jamani labda mimi mgeni au sijui....ni kwamba tazania tuna hamu ya vita au? Maana naona tunazidi kuwa na maadui ..mara leo malawi mara kesho rwanda sijui keshokutwa itakuwa nani?

baadhi ya hawa majirani zetu hawapendi kutuona tukiwa tunaishi kwa amani, kwani wanataka tuvurugani iliwajichukulie kinachopatikana si unaona yanayoendelea kongo? Hatuna budi kujilinda kwa nguvu zetu zote!
 
The way you choose those pictures is subjective and biased! Why can't you put the current pictures of TPDF troops in DRC?. Are you realy a great thinker or ........!

HAJAITENDEA HAKI JWTZ

8E9U9843.JPG
 
kama bibi yangu vile. Hawa jamaa siwaamin kabisa.
Hawa wanywa viroba ni wataalamu wa kuua tembo na kuteka raia wema.

U have no idea who are these soldiers!
 
@Ruzibiza naona ndoto zako hazina tofauti na mtutsi yeyote kuwa JWTZ ni ya kuchezea km hapo MP alipopumzika baada ya kiroba cha konyagi sasa chezeeni moto km wote hatukueleke hapo Rwanda badala ya DRC. Hao tu wa DRC wameshawashinda mnaanza kunywea na kujipa Moyo TAFADHALINI MUONDOKE SASA TZ
​
Goma -DRC.

DRC%20jeshi3.jpg

Maiti ya muasi wa M23 ikinajisiwa na Askari wa Congo
DRC%20jeshi2.jpg


Wanajeshi wakiinajisi maiiti ya muasi wa M23 baada ya kukamatwa na kupigwa hadi kufa mbele ya raia

DRC%20jeshi1.jpg


Wanajeshi wakiendeleza mateso makali kwa waasi wa kundi la M23 mpaka kifo kinapowafika wakiwa uraiani


DRC%20jeshi.jpg

Wanajeshi wakiwa wamemfunga mpiganaji wa kundi la M23 nyuma ya gari na kumpitisha mitaani.

DRC%20jeshi5.jpg

Wanajeshi wakimfunga askari wa kundi la M23 mbele ya raia baada ya kukamatwa

DRC%20jeshi4.jpg

Wanajeshi wakimtembeza muasi wa kundi la M23 mitaani baada ya kukamatwa.
 
Tatizo la vita tukishindwa au tukishnda hasara inabakia palepale cha msingi ni kuomba hili zogo liishe kishkaji tuu na si vinginevyo,,,acc nyingi humu zinaweza bakia hazina wenyewe,kwa sababu ya mkong'onto bila kujali tumeshindwa au tumeshinda

ni kweli kabisa maana tukumbuke matokeo ya vita vya kagera hadi leo yanaonekana
 
We sema ivo ivo hawatakuwepo huko vitani! We jiulize wenzako wamekufa saba na wengine kibao hali mbaya juzi dafur ina
maana wenzako hawakupiga japo mmoja tu?

Ungekuwa karibu yangu. Ningekushindilia mangumi na mateke !!!!!!!.
 
Eti niulize tu jamani labda mimi mgeni au sijui....ni kwamba Tazania tuna hamu ya vita au? Maana naona Tunazidi kuwa na maadui ..Mara leo Malawi mara Kesho Rwanda sijui Keshokutwa itakuwa nani?
Hapana hatuna hamu na vita! Ila majirani ndio wanahamu ya vita. Kuhusu Malawi wao ndio wanatujaribu maana watanzania hatuwezi kukubali kwamba tuwe tunaomba visa ya malawi tunapotaka kuogelea ziwa nyasa. Kwa upande wa kagame sie hatuna shida maana sioni kosa la JK hata kidogo. JK kashauri kitu ambacho kiko wazi kabisa kwa hiyo kama kagame hataki alitakiwa akatae ushauri. Kagame hawezi kumpangia kikwete kitu cha kushauri na kama sasa anataka kumnyamazisha kikwete kwa nguvu basi hapo vita havikwepeki maana kagame anadhani TZ ni kama Congo sasa ili kumfanya ajue tofauti kati ya TZ na Congo hatuna jinsi ispokuwa kufanya kile tunachoona ni sahihi anachokiona sio sahihi.
 
Kwahiyo unatakaje sasa ?!

AMANI..., mbona maandamano ambayo ni haki ya kikatiba mnaiita "FUJO" au sikuhizi "UGAIDI" ....? kuingia vitani kisa Rais katukanwa na Rais mwingine baada ya ushauri ndio "UNAVYOTAKA" iwe sababu ya vita?
 
Hapana hatuna hamu na vita! Ila majirani ndio wanahamu ya vita. Kuhusu Malawi wao ndio wanatujaribu. Kagame hawezi kumpangia kikwete kitu cha kushauri na kama sasa anataka kumnyamazisha kikwete kwa nguvu basi hapo vita havikwepeki maana kagame anadhani TZ ni kama Congo sasa ili kumfanya ajue tofauti kati ya TZ na Congo hatuna jinsi ispokuwa kufanya kile tunachoona ni sahihi anachokiona sio sahihi.

Kama unakubali ulikua USHAURI... sote tunajua Ushauri ama Hupokelewa au Kukataliwa ... Ushauri hua unasifa mojawapo kati ya hayo mawili.... Kwa wanadiplomasia ushauri unapolataliwa "hata km kwa kejeli na hasira" ni wajibu wa Mtoa ushauri kurejea Ushauri wake tena ...! Unapo kataa kuurejea ushauri wako na kusema "hauchaguliwi" cha kusema inamaanisha ulicho kishauri siyo Ushari (wenye sifa hizo hapo juu) bali ni "AMRI" na ndio maana kukataliwa kwake hiyo amri kumeamsha hamu ya vita vita...!
 
Back
Top Bottom