Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,718
- 13,441
Cant you even think of the name, Bisiimwa, purely Ugandan.Huu ni ushahidi tosha kua uganda na rwanda wanahusika... wanavyoenda kujisalimisha uganda kwani uko ndio nchini kwao? si ajisalimishe kwa serikali ya congo ambapo ndio nchini kwako!!! haya si maajabu jamani!!!
Je iwapo Uganda wakiingia huko na jeshi itakuwaje?!! Na Rwanda na Kenya wakiingilia hiyo vita kuwa upande wa M23, what is next?!! Ngoja tusubiri aiseee.....
Mkuu habari za jikoni zinadai Kagame anachimba mahandaki usiku na mchana anajua wale vijana wa JWTZ wanaweza kumnaniliu muda wowote na mbaya zaidi yuko kwenye risk kubwa kwa kuwa ndani ana wapinzani wengi sana hasa wahutuNimekuwa karibu sana kijana wangu aliekuwepo DRC na ukweli ni ushindi huu ni wa JWTZ kwa 90%. JWTZ ndilo lilianzisha mapigano na hawa M23. Wana_Jf Pale ambapo unasikia Jeshi la Congo limepigana na waasi kasi utambue kuwa ndani Battalion ya JWTZ iliyoenda kule DRC walichukuliwa wale Askari wa Tanzania wenye uwezo wa hali ya juu ili kwenda kupigana huko, Sio wote wanaokwenda kupigana ila JWTZ limetoa askari kadhaa ili wakawasaidie Congo. Askari walivenjwa mpaka kombati za DRC ili wakafanye hiyo kazi. Na hiyo kazi imefanywa kwa ustadi wa hali ya juu sana. Kagame na Museveni hata M23 wenyewe wanalijua hili. Jeshi la Congo halina uwezo wa kupambana na M23.
Usisahau pia sayansi ya asili ya mwafrika inapatikana sana CONGO..mimi naamini Mtu mweusi aliumbwa katika nchi ya kongo! maana pale pana asili zote za kipaji cha mtu mweusi. Ngoma(muziki) Soka,na intertainment zote!!!!!! Tanzania pale imemgomboa mtu mweusi dhidi watumwa wa mali
Je iwapo Uganda wakiingia huko na jeshi itakuwaje?!! Na Rwanda na Kenya wakiingilia hiyo vita kuwa upande wa M23, what is next?!! Ngoja tusubiri aiseee.....
SADC ipo mkuu na maamuzi ya kuilinda CONGO ambayo ni mwanachama wa SADC yamefikiwa kwa makubaliano ya pamoja ila JWTZ ndio wamepewa jukumu la frontlineJe iwapo Uganda wakiingia huko na jeshi itakuwaje?!! Na Rwanda na Kenya wakiingilia hiyo vita kuwa upande wa M23, what is next?!! Ngoja tusubiri aiseee.....
JWTZ ni nzito mkuu na wachina na wamarekani wanapigana vikumbo sana kuja kufanya mafunzo ya pamoja kila sikuNilidhani ubabe wa waTZ kivita ulikuwa mikononi mwa kina Mayunga, Musuguri, Twalipo & Co. JWTZ kumbe vijana wanatisha. Hongera JWTZ. futa hicho kikundi cha m23.
itakuwa hivi mkuu.rwanda itapigwa mtungo from behind via jwtz waliopo goma na jwtz walipo kagera.uganda itapigwa via bukoba.kenya itakuwa raisi kidogo cos vitafungwa vitu vizito na vyenye ncha kali at the top of mount kilimanjaro na kuvielekeza nairobi.the rest is history.acha wewee nyerere aliona mbali kuuchukua ule mlima.that old man was a real visionary and genious.FYI tz ndo israel ya ukanda huu wa east africa.
Wewe binafsi umenufaikaje na hicho unachokisifia? na je Ndugu,Wake na Watoto wa waliopoteza wapendwa wao katika hii vita watakuunga mkono kwa hiki ulichokiandika?
Kwanin Uganda wamempokea kiongozi wa waasi?
Baada ya kuungwa mkono na hao raia Wa DRC wewe kama Mtanzania utakuwa umenufaika na nini? wakati nchi imepoteza Askari mwenye utaalam wa juu na amesomeshwa kwa gharama kubwa ambazo hao Wa DRC hawakuchangia chochote zaidi kilichotumika ni kodi zetu Watanzania.
hONGERA SANA jwtz. ndio maana nikiangalia CCTV Africa kutoka hapa marekani kila mara naona jina la kinyakyusa kanali mwakibolwa mara Hatibu bakari mara Komba, nilkuwa najiuliza hawa wakina komba walifika lini Congo? MUngu Ibariki TZ maana huko ndiko kusaidia mtu aliye uchi ukamvisha nguo. Congo wamesumbuliwa sana na na M-23, Uganda na Rwanda. Amani na Ije wacongo wazidi kututumbuiza ktk muziki, soka na basket ball.
Nasema JWTZ ni noma pande hii ya Afrika Mashariki.
JWTZ- The proffessional army that has always been, proud of ya guys.
Mkuu habari za jikoni zinadai Kagame anachimba mahandaki usiku na mchana anajua wale vijana wa JWTZ wanaweza kumnaniliu muda wowote na mbaya zaidi yuko kwenye risk kubwa kwa kuwa ndani ana wapinzani wengi sana hasa wahutu
Bravo sana JWTZ
at least damu yake haikuenda bure...hawakumlet down! May he R.I.P?Wewe binafsi umenufaikaje na hicho unachokisifia? na je Ndugu,Wake na Watoto wa waliopoteza wapendwa wao katika hii vita watakuunga mkono kwa hiki ulichokiandika?