maajabu kweli. tulitegemea kuona vita kati ya m23 na FDLR.
wanyamulenge ni watusi ambao hawataki kujiita wanyarwanda ili waonekane ni wakongoman. hata makabila mengine asili wakongo hawapatani nao. hao ndio wachafuzi wa nchi. walianza kipindi cha RCD leo wako m23 wanabadilisha tu majina. hao m23 wanataka kuweka mazingira kwa wanyarwanda kuiba na kuoccupy eastern congo na si kingine.soma sana ili kujua ni kwanini.....kwa wanaojua historia na nini kinaendelea huko maeneo ya kivu hawatashangaa hayo madai na ndo maana yakatolewa waziwazi......m23 moja wapo ya majukum yaoni kulinda wacongoman wanyamurenge ambao wanauliwa na wa-FDLR....na ndiyo hao FDLR wanahusika na wakimbizi wacongo walioko Rwanda.....
wanyamulenge ni watusi ambao hawataki kujiita wanyarwanda ili waonekane ni wakongoman. hata makabila mengine asili wakongo hawapatani nao. hao ndio wachafuzi wa nchi. walianza kipindi cha RCD leo wako m23 wanabadilisha tu majina. hao m23 wanataka kuweka mazingira kwa wanyarwanda kuiba na kuoccupy eastern congo na si kingine.
Ahsante, kwanza kumbuka kuwa M23 si taifa ni kundi la watutsi wa Rwanda ambao ni raia wa Kongo. Kwahiyo hoja yako kuwa wasipuuzwe kuhusu wakimbizi wa nchi jiranihaipo kwasababu M23 si nchi ni kundi la waasi.Nashukuru kwa kunielimisha kuhusu M23 na FDLR, lakini naomba kuuliza:
Kwa nini jeshi la UN lisiwashambulie na FDLR, kwanini M23 peke yao? Maana wote ni waasi.
Kwa upande mwingine naona hoja za M23 kuhusu wakimbizi wa nchi jirani tusiibeze sana japo naona haitekelezeki
si ndo maana tumewafukuza. wakongo waliwaacha wakaota mizizi hadi imekuwa haiwezekani tena kuwafukuza. watu wote wa kivu na wakongoman wote wanajua jamaa sio wa kule sema imeshakuwa kuchelewa sana.hicho ndo umepata baada ya kusoma.....sishangai kama wadogo zako au hata wewe unafaulu kuingia form one huwezikuandika jina lako wala kusoma....nitashangaaje wewe kuibuka na hisia zako?
Nashangaa kama mtu hawezi kujiuliza japo swali dogo....kwanini serikali ya congo inakubali kufanya mazungumzo kama m23 ni wavamizi?hayo mazungumzo ni ya nini?m23 wananini kiasi cha kulazimisha nchi huru kuivamia na kuweka masharti yao? na dunia nzima ikiona?kichwa empty.....
sijui kwanini unaamua kujidhalilisha?kwa faida ya nani kuonekana hamnazo? we wajua yangu ni hayo
Ahsante, kwanza kumbuka kuwa M23 si taifa ni kundi la watutsi wa Rwanda ambao ni raia wa Kongo. Kwahiyo hoja yako kuwa wasipuuzwe kuhusu wakimbizi wa nchi jiranihaipo kwasababu M23 si nchi ni kundi la waasi.
Lakini hoja yako ina mantiki kwa kujua kuwa M23 ni kundi la Rwanda kwahiyo unaweza kuwa na hoja tukizingatia kuwa Rwanda ndio wafadhili wakubwa wa M23 na bila kificho ni tawi la RPF likipokea maagizo kutoka Kigali.
Kundi hili limesababisha madhara kwa raia wa kongo na si FDLR tena likidai kupewa nchi ya itakayoitwa Kivu.
Kundi hili halina mgogoro na FDLR bali serikali ya DRC na dhana kuwa lipo kwa ajili ya kupambana na FDLR si kweli.
Ndio maana katika mzungumzo ya Kampala ni baina ya DRC na M23.
Kwahiyo tatizo la M23 ni kubwa zaidi ya FDLR kwa maana kuwa wao sasa ni sehemu ya mauji ya wananchi wa DRC bila sababu za msingi bali maagizo kutoka Kigali.
Kuwanyangànya silaha FDLR ni sehemu ya mpango wa UN lakini tatizo hilo si kubwa kama uwepo wa M23 ambao tayari wameshatangaza kuigawa nchi kwa vile tu ni watutsi na kwa bahati mbaya sana wakiungwa mkono na Kagame bila soni haya au aibu.
Huu si uhalifu wa M23 ni uhalifu wa nchi mbili dhidi ya nchi mmoja zikiongozwa na mheshimiwa sana Paul Kagam.
PK ana damu za watu milioni 3 wa DRC, sidhani kama anashtuka kwa hilo kwasababu ya makuzi yake.
Sasa mkuu Nguruvi3, kwa nini ICC inawang'ang'ania wakina Kenyata inawaacha wakina Kagame?? Mimi nilidhani kagame ni mbaya kuliko Taylor, ni mbaya kuliko Bashiri. Akamatwe na apelekwe kujibu mashitaka ICC.
Ndiye aliyeanzisha mauaji ya kimbali, na ndiye anaye ondoa amani nchini Congo
Ndo maana wewe siyo mahakama,na kila mtu ni innocent till proved guilt na mweenye kufanya hivo ni mahakama...so mawzo na chuki zako si mahakama na huna akili ya kuwa judge au hata hakimu wa mahakama ya mwanzo.....
Sometimes we are being caught in a trap of putting innocent people in collective guilty. Kinachowakumba watu wanaorudishwa Rwanda ni kosa la Kagame, wao hawana kosa hata kidogo. Kutokana na sababu hiyo wamefikia hatua ya kuwa "guilty until proven innocent". Hili kwa kweli si jambo zuri, kwenye jukwaa hili inaonekana watu tunaanza kusukumwa na nationalism na kuweka pembeni common sense au hata kujaribu kupuuza sheria kwa kuangalia nationalism, hii ni hatari sana.
Tunatakiwa kuangalia mzizi wa tatizo uko wapi, na kuung'oa, na sio kuwakimbiza wazee wa miaka 70 ambao kimsingi si tatizo, wao ni nyika ztu a mapambano kati ya mafahari wawili.
Mkuu Mukamasimba unajua sana kujieleza, ila wakati mwingine unatetea vitu vyenye utata mkubwa, mfano: Wahutu na Watutsi waliokuwa wana uhasama ni raia wa Rwanda - sasa hili la kusema Wahutu waliokimbia Rwanda kuja ukimbizi Congo ndio waliendeleza mauji ya Wanyamlenge wa Congo inakujaje hap?? Kwani Wahutu wana ugomvi gani na Wanyamlenge!!! Kuwa mkweli hapa - au Wanyamlenge waliwahi kujihunga na RPF wakati wa harakati za kumung'oa Habyalimana nini?? Oh, umenikumbusha kitu, hivi Kabare (Kabarebe) alizaliwa wapi, yaani katika ujana wake alikulia wapi i.e mwenyeji wa nchi gani?? Ukijibu swali langu la mwisho bila kuficha kitu ndio tutapata jibu kwa nini M23 wanakuja na madai mengine mapya kabisa ambayo hayana uhusiano wowote na ugomvi wao na Serikali ya DRC. Mukamasimba mimi sio mtume wala nabii lakini inavyo elekea M23 wamepewa ushauri wakutaka kuendeleza vurugu ndani ya DRC kwa kuleta madai ambayo Serikali ya DRC haiwezi kukubaliana nayo, jeshi la Rwanda lilikuwa linaingia na kutoka DRC zaidi ya miaka ishirishi likitafuta kuwa angamiza wanajeshi wa kihutu - Kabare aliwahi kutamka kwamba jeshi hilo la kihutu limepunguzwa makili kwa asili mia 95% na sio tishio tena kwa Rwanda, kumbuka aliyasema haya alipo kuwa mkuu wa majeshi ya Rwanda, sasa ni Waziri - inakuwaje tena M23 wanatumbukiza madai ya a spent force ambalo si tishio tena kwa Serikali ya Kagame? Mh Kagame hasitake kuendeleza mgogoro ndani ya DRC kwa kuwatumia M23 na madai yao yasiyo na mantiki, dunia hawezi kuendelea kusikiliza adithi hizo hizo miaka nenda rudi huku watu wakiendelea kupoteza maisha/kuwa wakimbizi kila siku. Kila mtu anajua M23 ni wanajeshi walio revolt kutoka jeshi la DRC kwa visingizio mbali mbali, moja wapo ikiwa eti wanaonewa sijui wanyimwa haki kwa hiyo lazima wadai haki zao kwa kutumia mtutu wa bunduki! Kwani DRC ina makabila mangapi, hivi Wanyamlenge wana nini cha ziada mpaka wafikie hatua ya kujiona wao ni bora zaidi ya makabila mengine ya Kikongomani? Leo hii wanakuja na madai eti Watutsi wote duniani wakubaliwe kuhamia/kurudi mkoa wa KIVU hata wale ambao hawakuwahi kuwa raia wa Congo - hamjasema hivyo moja kwa moja lakini hiyo ndio long term plan yenu msifikiri Dunia/watu hawana akili, mkimaliza hapo phase two itakuwa mkoa wa Kagera bila shaka!!Amakweli kuna watu wasiojua tofauti ya kivu na rwanda,kivu kunaishi wa congo wenye asili ya rwanda na rwanda kuna wanyarwanda koo zote hutu natutsi,na kivu iliitwa congo baada ya kukatwa mipaka na familia za kinyarwanda kujikuta congo na kuitwa wakongoman,sasa baada ya mauaji ya kimbali hao wahutu wa rwanda walikimbilia congo na kuanza kuwaua watusi wa congo ndio wengi kukimbilia rwanda na vijana wao kushika silaha ili kudai haki yao,lakini tatizo serikali ya congo inashirikiana na hao wahutu kuwaua watusi ndio maana M23 inezaliwa na kulinda haki za wanyonge.
Mkuu Mukamasimba unajua sana kujieleza, ila wakati mwingine unatetea vitu vyenye utata mkubwa, mfano: Wahutu na Watutsi waliokuwa wana uhasama ni raia wa Rwanda - sasa hili la kusema Wahutu waliokimbia Rwanda kuja ukimbizi Congo ndio waliendeleza mauji ya Wanyamlenge wa Congo inakujaje hap?? Kwani Wahutu wana ugomvi gani na Wanyamlenge!!! Kuwa mkweli hapa - au Wanyamlenge waliwahi kujihunga na RPF wakati wa harakati za kumung'oa Habyalimana nini?? Oh, umenikumbusha kitu, hivi Kabare (Kabarebe) alizaliwa wapi, yaani katika ujana wake alikulia wapi i.e mwenyeji wa nchi gani?? Ukijibu swali langu la mwisho bila kuficha kitu ndio tutapata jibu kwa nini M23 wanakuja na madai mengine mapya kabisa ambayo hayana uhusiano wowote na ugomvi wao na Serikali ya DRC. Mukamasimba mimi sio mtume wala nabii lakini inavyo elekea M23 wamepewa ushauri wakutaka kuendeleza vurugu ndani ya DRC kwa kuleta madai ambayo Serikali ya DRC haiwezi kukubaliana nayo, jeshi la Rwanda lilikuwa linaingia na kutoka DRC zaidi ya miaka ishirishi likitafuta kuwa angamiza wanajeshi wa kihutu - Kabare aliwahi kutamka kwamba jeshi hilo la kihutu limepunguzwa makili kwa asili mia 95% na sio tishio tena kwa Rwanda, kumbuka aliyasema haya alipo kuwa mkuu wa majeshi ya Rwanda, sasa ni Waziri - inakuwaje tena M23 wanatumbukiza madai ya a spent force ambalo si tishio tena kwa Serikali ya Kagame? Mh Kagame hasitake kuendeleza mgogoro ndani ya DRC kwa kuwatumia M23 na madai yao yasiyo na mantiki, dunia hawezi kuendelea kusikiliza adithi hizo hizo miaka nenda rudi huku watu wakiendelea kupoteza maisha/kuwa wakimbizi kila siku. Kila mtu anajua M23 ni wanajeshi walio revolt kutoka jeshi la DRC kwa visingizio mbali mbali, moja wapo ikiwa eti wanaonewa sijui wanyimwa haki kwa hiyo lazima wadai haki zao kwa kutumia mtutu wa bunduki! Kwani DRC ina makabila mangapi, hivi Wanyamlenge wana nini cha ziada mpaka wafikie hatua ya kujiona wao ni bora zaidi ya makabila mengine ya Kikongomani? Leo hii wanakuja na madai eti Watutsi wote duniani wakubaliwe kuhamia/kurudi mkoa wa KIVU hata wale ambao hawakuwahi kuwa raia wa Congo - hamjasema hivyo moja kwa moja lakini hiyo ndio long term plan yenu msifikiri Dunia/watu hawana akili, mkimaliza hapo phase two itakuwa mkoa wa Kagera bila shaka!!
Ruzibiza, Murutongore, Koba, Nguruvi na wengine. Ni bora tujadili kwa uwazi na kwa busara swala hili. Nina amini kuwa kama wewe ni mtanzania mmatumbi, mtanzania mndegereko au mtanzania mtusi, cha kwanza ni Mtanzania mengine baadaye.
Tunajua kuwa hapa Tanzania hakuna ujinga wa kuwabagua watu kutokana na kabila au mwonekano wao. Kinachotokea Kagera hakikusababishwa na watanzania, hata wanaoitwa watusi wanaoathirika ni kutokana na kauli za Kigali, lakini sio kutokana na tabia ya kuwabagua au kuwachukia.
Kama Tanzania ingekuwa na xenephobia sidhani kama kungekuwa na wageni ambao wanaishi bila vibali na watu wanajua na kukaa kimya, tena wengine wanawaficha ili polisi wasiwakamate.
Kauli za kuanza kuwaponda watutsi ni very untanzanian, hata kama wao wanatutukana na kutufananisha na Interahamwe who cares?? we are not even close to that. we never massacred Tutsis nor Hutus, and we hate none of them. Chuki kati yao, iwe ni Rwanda, DRC au Burundi, is not our business, security of our country and of the people who live in it, hata kama wao ni wahutu au watusi, is our top priority.
,
Sometimes we are being caught in a trap of putting innocent people in collective guilty. Kinachowakumba watu wanaorudishwa Rwanda ni kosa la Kagame, wao hawana kosa hata kidogo. Kutokana na sababu hiyo wamefikia hatua ya kuwa "guilty until proven innocent". Hili kwa kweli si jambo zuri, kwenye jukwaa hili inaonekana watu tunaanza kusukumwa na nationalism na kuweka pembeni common sense au hata kujaribu kupuuza sheria kwa kuangalia nationalism, hii ni hatari sana.
Tunatakiwa kuangalia mzizi wa tatizo uko wapi, na kuung'oa, na sio kuwakimbiza wazee wa miaka 70 ambao kimsingi si tatizo, wao ni nyika ztu a mapambano kati ya mafahari wawili.
Unajua hapo mkuu ndipo mimi na wewe tunatofautiana. A country is ruled by rule of law. Haiwezekani kwa sababu ya spat kati ya kagame na Kikwete basi raisi wenu kakasirika akaenda mkoa wa kagera akasema fukuzeni hawa watu nanyi immediately without following the rule of law mnaanza kuwatimua watu. Wengine wana miaka zaidi ya 60 hapo. na mnawafukuza si kwa kufanya uchunguzi bali kwa kuangalia sura zao. Wahamiaji haramu wanakuja in all shapes and forms sio wale warefu wenye pua ndefu. Juzi Raisi putin amewatukana viongozi wa marekani kwenye new york times. Lakini sijasikia akina obama wakisema wafukuzeni warusi wote ambao wako marekani kinyume na sheria. Na wako wengi sana huko new york, mpaka wana mafia groups. So, ni hatari kwa serikali na wananchi kuitikia wito wa raisi blindly bila kufuata sheria. It happened in rwanda and we lost more than a million people. Pale wananchi walipoitikia wito wa serikali kuwaua watutsi wote. Nina ndugu zangu huko tanzania mmoja kaniambia jinsi alivyokuwa ofisini ghafla watu saba kutoka immigration,polisi,wanajeshi wakamfuata moja kwa moja mezani kwake utadhani wanaenda kumkamata jambazi sugu au siju osama. Seven people? Mtu mmoja ambae yuko pale kila siku! all those resources just to harrass one person. Halafu cha kushangaza anajulikana ofisini kuwa ni raia wa kujiandikisha. Please, you are wasting your resources wakati you could be catching hao wauza unga wanaopita kwenye airport zenu kila siku na ambao ndio wanaathiri maisha ya watoto wenu
Mkuu anajua kuna kitu ambacho huwa najiuliza mara kwa mara nakosa jibu - hivi wakuu wa SADC au International Community wamewahi kushtukia michezo hii ya kuhigiza inayo husu an open ended conflict ndani ya DRC - some of the keyplayers wa mgogoro huu wa kuchonga ni blood relatives kabisa, wakija kwenye mikutano ya usuruhishi wanajifanya ni sworn enemies i.e hawajuani kabisa!!Major problem ya Congo kwanza ni KAbila mwenyewe.Kabila ni puppet wa Rwanda na kashawahi kutumika jeshi la Rwanda akiwa dereva wa Kabarebe ambaye Leo ni minister of defence Rwanda.Kabarebe aliwahi kuwa chief of staff wa jeshi la Congo kipindi cha Kabila senior.kabarebe ndio Mchora ramani mkubwa wa vita zote huko Congo akitumiwa na Kagame.
Major problem ya Congo kwanza ni KAbila mwenyewe.Kabila ni puppet wa Rwanda na
kashawahi kutumika jeshi la Rwanda akiwa dereva wa Kabarebe ambaye Leo ni minister of defence Rwanda.Kabarebe aliwahi kuwa chief of staff wa jeshi la Congo kipindi cha Kabila senior.kabarebe ndio Mchora ramani mkubwa wa vita zote huko Congo akitumiwa na Kagame.