Hhhm siipati Dr Love. . . kaimba nani?
Cocacola popstar wa Tz, WAKILISHA.....
Shah, Witty na Langa!
Icheki Youtube basi....
Kwahyo umegoma kuniita jG jigger kama Bishanga alivyo-recommend?
Condolleza Rice!
Mtu wa technical upande wa M PESA, TIGO PESA na AIRTEL MONEY siku akiamua kujifanya chizi akapiga chini network kwa muda siku mbili hivi watu watahaha vibaya sana...
Nimetafuta sioni. . nisaidie link.
Hhhm j-Jigger hainitoki vizuri. . .kama hutaki Dr Love ngoja nirudie Pimbi!!Lolz
Heheheheh makwenzi utapata wewe kabla yangu Dr. .labda haipo, ok ntakuchekia ntaweka kwenye thread yako yeyote!
Mmmhhh hapo kwenye majina mpaka nkupige makwenzi ndo utaweza kuita jG-jigger...
Unayafahamu makwenzi lol
siku hizi tunahongana, kama mimi ndo zinaruhusu kwa nini nisimgawie na mwenzangu?kwani hakuna athari kwa wanawake?
unafikiri siku hizi kuhonga ni wanaume tu?
na wanaohongwa 'hawaliwi'?lol
you can say that again, ha haaaaaaaaaaaa. I am blessed, I want u to be blessed too, lol!stay blessed lol
baraka zinatolewa bure..................tutafute njia uniambukize blessings zako lol
au tuambukizane lol
Nimeona rafiki, stay blessed! lol!nipo blessed we huoni?
njia ipo mbona? lol
umeona eee! stay blessed toommmmmh! Mkibaki wawili kwenye sredi diskasheni hunoga
may your souls be blessed.
umeona eee! stay blessed too
siri ya huu uhair ni balanced diet, na kujitahidi kutokuwa stressed! maana ukiwa na stress nywele zinadondoka sana. zaidi ya hapo ni kupunguza kukaa kwenye drier mara kwa mara, mimi huwa natumia moto kwa nywele zangu mara 1 kwa miezi 2. siku nyingene naosha home na kuziacha zenyewe zikaukenipe siri ya huo uhair basi.
Nna saluni nataka niwe saloonist wa ukwee
Kama ilivyo matumizi ya simu yalivyo badili mahusiano
sasa kuna hili la matumizi ya kutumiana pesa kwa njia ya simu
m-pesa,tigo-pesa..airtel money,z pesa na kadhalika.......
je unafikiri mahusiano yame athirika kwa kiasi gani sasa?????
nini kimeongezeka zaidi?faida? au hasara??????
kwa uzoefu wangu wanaume wengi 'wanaona hii teknolojia' imewasaidia wanawake
zaidi since wanaume ndo 'main provider' kwa sehemu kubwa ya jamii....
imekuwa rahisi 'kuchunwa' kwa kupigiwa tu simu na kutakiwa utume pesa....
na wengine wanaona now ni rahisi hata 'kumzidi mtu' maarifa kwa njia hii
na wengine wanaona 'utapeli' wa mapenzi na 'wizi' umerahisishwa......
je wewe waonaje ?
uzoefu wako ukoje kwa hili????????
Na tunakoelekea huko....ALL TRANSACTIONS zitakuwa zinafanywa kwa system hii na mimi binafsi naipendekeza sana kwa sababu zifuatazo.
Kwa kweli mimi nitafurah sana ikifika a point naenda bar, hotel, pub or supermarket na simu yangu tu......maswala ya kubeba ma wallet na hela nyingi ni hatari sana(vibaka watatia akili). Nikitaka kujipongeza larger na mtoto mi nafanya credit transfer tu....hahaha lol
- ina save time na kulipa bills on tha spot nd user friendly.
- banking services like balance account enquiry, credit/debit alerts, bill payment alerts, fund transfer, transaction history, minimum balance alerts etc. can easily be accesed on comfort of ur own phone.
- Binafsi ntakuwa sina muda wa kupoteza kwa kuganda kwenye foleni za atm.
- Risks of fraud zitapungua sana cz ntapata instant notification sms kuhusu chochote kinachoendelea na account yangu.
- naweza nikawa more intouch with my bank through this system.
- Shughuli za biashara zangu zitakwenda more smoothly bila delays zozote.
umezungumza yoote hayo umesau
id theft kabisa