M-PESA.TIGO PESA na MAHUSIANO...

Hhhm siipati Dr Love. . . kaimba nani?

Cocacola popstar wa Tz, WAKILISHA.....
Shah, Witty na Langa!
Icheki Youtube basi....
Kwahyo umegoma kuniita jG jigger kama Bishanga alivyo-recommend?
Condolleza Rice!
 
Cocacola popstar wa Tz, WAKILISHA.....
Shah, Witty na Langa!
Icheki Youtube basi....
Kwahyo umegoma kuniita jG jigger kama Bishanga alivyo-recommend?
Condolleza Rice!

Nimetafuta sioni. . nisaidie link.

Hhhm j-Jigger hainitoki vizuri. . .kama hutaki Dr Love ngoja nirudie Pimbi!!Lolz
 
Nimetafuta sioni. . nisaidie link.

Hhhm j-Jigger hainitoki vizuri. . .kama hutaki Dr Love ngoja nirudie Pimbi!!Lolz

labda haipo, ok ntakuchekia ntaweka kwenye thread yako yeyote!
Mmmhhh hapo kwenye majina mpaka nkupige makwenzi ndo utaweza kuita jG-jigger...
Unayafahamu makwenzi lol
 
labda haipo, ok ntakuchekia ntaweka kwenye thread yako yeyote!
Mmmhhh hapo kwenye majina mpaka nkupige makwenzi ndo utaweza kuita jG-jigger...
Unayafahamu makwenzi lol
Heheheheh makwenzi utapata wewe kabla yangu Dr. .
Hilo lingine silipendi kwasababu. . . kwasababu matawi sana.Nikikuita utaanza kujiona. . lolz!!

BTT. . Nitumie M-Pesa basi na mimi nijue raha na karaha zake.
 
nipe siri ya huo uhair basi.
Nna saluni nataka niwe saloonist wa ukwee
siri ya huu uhair ni balanced diet, na kujitahidi kutokuwa stressed! maana ukiwa na stress nywele zinadondoka sana. zaidi ya hapo ni kupunguza kukaa kwenye drier mara kwa mara, mimi huwa natumia moto kwa nywele zangu mara 1 kwa miezi 2. siku nyingene naosha home na kuziacha zenyewe zikauke
 
Kama ilivyo matumizi ya simu yalivyo badili mahusiano

sasa kuna hili la matumizi ya kutumiana pesa kwa njia ya simu

m-pesa,tigo-pesa..airtel money,z pesa na kadhalika.......

je unafikiri mahusiano yame athirika kwa kiasi gani sasa?????

nini kimeongezeka zaidi?faida? au hasara??????

kwa uzoefu wangu wanaume wengi 'wanaona hii teknolojia' imewasaidia wanawake

zaidi since wanaume ndo 'main provider' kwa sehemu kubwa ya jamii....

imekuwa rahisi 'kuchunwa' kwa kupigiwa tu simu na kutakiwa utume pesa....

na wengine wanaona now ni rahisi hata 'kumzidi mtu' maarifa kwa njia hii

na wengine wanaona 'utapeli' wa mapenzi na 'wizi' umerahisishwa......

je wewe waonaje ?

uzoefu wako ukoje kwa hili????????

Na tunakoelekea huko....ALL TRANSACTIONS zitakuwa zinafanywa kwa system hii na mimi binafsi naipendekeza sana kwa sababu zifuatazo.
  1. ina save time na kulipa bills on tha spot nd user friendly.
  2. banking services like balance account enquiry, credit/debit alerts, bill payment alerts, fund transfer, transaction history, minimum balance alerts etc. can easily be accesed on comfort of ur own phone.
  3. Binafsi ntakuwa sina muda wa kupoteza kwa kuganda kwenye foleni za atm.
  4. Risks of fraud zitapungua sana cz ntapata instant notification sms kuhusu chochote kinachoendelea na account yangu.
  5. naweza nikawa more intouch with my bank through this system.
  6. Shughuli za biashara zangu zitakwenda more smoothly bila delays zozote.
Kwa kweli mimi nitafurah sana ikifika a point naenda bar, hotel, pub or supermarket na simu yangu tu......maswala ya kubeba ma wallet na hela nyingi ni hatari sana(vibaka watatia akili). Nikitaka kujipongeza larger na mtoto mi nafanya credit transfer tu....hahaha lol
 
umezungumza yoote hayo umesau
id theft kabisa
 
umezungumza yoote hayo umesau
id theft kabisa

ongezea iwe point ya 7 hapo na id theft ipi hiyo?? dats ma idea roughly speakin....kama ni id ya bank a/c yangu....still itakuwa useless cz password naijua mwenyewe....in case wakiniibia simu hawatoweza fanya nayo chochote !!
 
Back
Top Bottom