M-Pesa & MasterCard ina matatizo?

Hapo ndo panaponiumiza Mimi kwakweli, yaani nimelipia simu thamani yake mpaka shipping cost jumla 350,000 tu Ila Airtel master card wamenikata 25,000 mzima Bora kulipia kwa yuan tu
 
Hapo ndo panaponiumiza Mimi kwakweli, yaani nimelipia simu thamani yake mpaka shipping cost jumla 350,000 tu Ila Airtel master card wamenikata 25,000 mzima Bora kulipia kwa yuan tu
Una ushahidi wa Hili mkuu? Natumia Airtel master card ila siku nyingi sijachunguza Makato, si walikuwa wanakata kama asilimia 2 ama 3?
 
Hongera mimi hadi Leo hawajanirudishia hel.... Na muda wamenipoteza na bado napewa jibu kuwa mbona nahangaika na hela ndogo $30. Kama Kuna uwezekano wa malipo kurudi sikushauri utumie njia hii. Ni ngumu kupata hela yako kama malipo yako yamerudi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…