M-Pesa Gawio.

M-Pesa Gawio.

5AF313T6TLT Imethibitishwa.Umepokea Tsh333.00 kutoka 219777 - M-PESA FAIDA tarehe 15/1/18 saa 8:1 AM Salio lako ni M-Pesa ni


Sasa huu sio ujuha?
 
Nimeambulia shs 580 tu nifanyeje ili niwarudishie Vodacom uchafu wao huu sitaki mikosi kwenye simu yangu

5AF513VD45N Confirmed.You have received Tsh580.00 from 219777 - M-PESA FAIDA on 15/1/18 at 7:50
Bora wewe umeambulia japo ka Pepsi. Mi wamenizawadia tshs 333/= bila shuruti!
 
Mnachokifanya ni kizuri sana ila nina mapendekezo kuhusu namna mnavyotoa gawio lenu.
Kulikoni kutoa 125, 150, 300, 500 au 750 kwanini msizichange ziwe nyingi halafu ndio mzitoe mfano: 5000 na kuendelea. Sina uhakika kama kuna mtu anapenda hizo 250, pesa yenyewe ni kama ya kufanya muamala wa simu moja kwenda nyingine.
Toeni kwa awamu na kwa watu wachache ili angalau kila anayepata nafsi iridhike la sivyo mtaambulia za uso kutoka kwa wateja wenu. Mimi nikiwa mmoja wao.
Tuma salamu kwa watu watatu mkuu.
 
Asante sana nmepata gawiwo la mia mbili (200)..vodacom--- kazi ni kwako
 
Nimeambulia shs 580 tu nifanyeje ili niwarudishie Vodacom uchafu wao huu sitaki mikosi kwenye simu yangu

5AF513VD45N Confirmed.You have received Tsh580.00 from 219777 - M-PESA FAIDA on 15/1/18 at 7:50
Hahahahaaa unataka kurudisha
 
Habari njema January hii!
Vodacom Tanzania Plc tunatoa Tsh bilioni 6 za faida ya kutumia M-Pesa kwa wateja wa M-Pesa. Kujua gawio utakalopokea tuma neno KIASI kwenda 15300. [HASHTAG]#PesaniMPesa[/HASHTAG], [HASHTAG]#LipaKwaMPesa[/HASHTAG], [HASHTAG]#MPesaApp[/HASHTAG]

View attachment 678636
Njooni mjibu maswali ya wateja wenu, sio kuweka mada na kusepa
Watu wanataka namna ya kuwarudishia pesa zenu, wekeni namba yenu turudishe!
 
Waliniambia nitapokea 250 kabla ya tarehe 30.1.2018, lakini viazi tu... Waache utapeli.
 
Back
Top Bottom