M-Pesa Gawio.

M-Pesa Gawio.

Vodacom Tanzania

Official Account
Joined
Aug 12, 2013
Posts
324
Reaction score
126
Habari njema January hii!
Vodacom Tanzania Plc tunatoa Tsh bilioni 6 za faida ya kutumia M-Pesa kwa wateja wa M-Pesa. Kujua gawio utakalopokea tuma neno KIASI kwenda 15300. [HASHTAG]#PesaniMPesa[/HASHTAG], [HASHTAG]#LipaKwaMPesa[/HASHTAG], [HASHTAG]#MPesaApp[/HASHTAG]

Artboard 1 copy.png
 
Yaani nimeanza kutumia mpesa toka 2010 na huwa nafanya miamala ya nguvu kwel,siku huwa haipiti cjatumia mpesa,ila gawio ninalopataga huwa ni 2000 tu.
Mnatumia vigezo gani kugawa hizo pesa?
 
Tatizo lenu mko kibiashara sana atakuuliza mtatukata sms moja shilling 500 hizo tu mkizikusanya zinatosha kulipa gawio lenu duh
 
Coomer nyinyi mnaibia watanzania nje nje...yaani ni BIKO njeee njeee.
 
Mimi juzi mlinipa 250 sina shida nayo kama mnaitaka semewape namba mkate kwennye M-PESA
 
Eheeeeee! teaaaaanaaaa nyie VODA nilikuwa na hasira na nyie sana! Tabia gani kunistua moyo wangu, eti meseji ya empesa halafu nikifungua oooops imethibitishwa nimepokea 250/= sijui kutoka faida..
Sitaki upuuzi wenu huo, mkome kabisa.
 
Back
Top Bottom