Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,302
- 96,516
Afu hiyo namba wanayotuambia tuulizie, ukituma msg unakuta wanakata hela, afu mwisho wa siku gawio unapewa tshs 800/=Ni wapuuzi sana yani,hovyo kabisa
Afu hiyo namba wanayotuambia tuulizie, ukituma msg unakuta wanakata hela, afu mwisho wa siku gawio unapewa tshs 800/=Ni wapuuzi sana yani,hovyo kabisa
Wahuni sana mimi walinipa buku na miaKweli nilipokea juzi 1367 Sasa mnatumia vigezo gani mlitumia?
Utapokea Tsh 400 kabla ya 30.1.2018 kama faida ya kutumia M-Pesa. You will receive Tsh 400 before 30.1.2018 as your benefit for using M-Pesa.
Wanajijua ni fiksi wazee wa kutoa gawio tsh 200 200Mbona hawajibu
Hyo labda ununulie pipi kifua mkuumm wananipa ,250 sasa Pesa gan hiyo
Baba Samira.Id ya zamani ni ipi nikusikilize
ha ha ha ha haya baba samira, wewe tena mi siwezi acha kukusikiliza make nakukubali.Baba Samira.
Lunch break point leo.ha ha ha ha haya baba samira, wewe tena mi siwezi acha kukusikiliza make nakukubali.