Kamkuki
JF-Expert Member
- Feb 1, 2011
- 1,672
- 970
apetite gani tena mkuuuuuuuuuuuu!?Lolz...
Sipati picha mwili wote ule afu sauti ya kike... Khaaa! anakataje apetite?...
apetite gani tena mkuuuuuuuuuuuu!?Lolz...
Sipati picha mwili wote ule afu sauti ya kike... Khaaa! anakataje apetite?...
shikamoo bibihaya mabinti endeleeni na mada mie kikongwe napita tu kazi kwenu!
mchina hajashtukia hili?tutaanza kuongeza base kwenye sauti zetu lol
Hivi wadau mnamjua mtangazaji wa zamani David Wakati. Au nyie wote mmezaliwa 90s. Jamaa ana sauti kusema Barry White
YouTube - ‪Barry White - Practice What You Preach‬‏
Mumy uko hapa mpaka saa izi au dady leo yuko kwa nyumba ndogo?
hapo kwa Berry white nimekusoma,izo ndo sauti za ukweli
haya mabarobaro wenye vijisauti kama mnabalehe keshokutwa nitafuteni niwape dawa msikimbiwe na wapenzi
hahahaaaaaaaaaaaahaya mabarobaro wenye vijisauti kama mnabalehe keshokutwa nitafuteni niwape dawa msikimbiwe na wapenzi
shikamoo bibi
mchina hajashtukia hili?