Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,664
- 8,278
"Mimi sitaki mwanaume asiye na pesa nataka mwanaume hata nikimuomba Million 10 ananitumia hapo hapo bila kuulizana maswali ya aina yoyote ile kwa kweli mwanaume asiye na hela hapa hatuwezani Nyumba niliyopanga zamani nilikua nalipa kodi shs Milioni 3 kwa mwezi nikahama hapo na nikahamia nyumba nyingine napo nalipa zaidi ya kodi ya zamani sasa sijajua ile nyumba ya zamani kama Harmonize analipa kodi ile ile kwa kweli sijui"-Ameongea Lyyn.
.
Beauty with full mucus in brain.[emoji2379][emoji2379][emoji2379]
Kama ulikuwepo, mtoto wa Buguruni huyo tena ile Buguruni chakavu isiyokua na mitaa,Alafu mara nyingi mademu kama hawa unakuta kwao njaa kali balaa, demu anataka gari baba ake hajawahi kuwa hata na pikipiki.
Nilikuwa nasubiria comment yako mzee, dunia inaenda kasi sana hawa viumbe maarufu siku hizi wanaongezeka kwa kasi ya hatari sana😆Ndio nani huyo??
Mwenye picha yake tafadhaki kwanza aitupie humu kabla wengine hatuja comment
Jana mama amefanya uteuzi akiwa huko ughaibuni, labda ndio mmoja kati ya wateuliwa..😊Nilikuwa nasubiria comment yako mzee, dunia inaenda kasi sana hawa viumbe maarufu siku hizi wanaongezeka kwa kasi ya hatari sana😆