mwandiko wa joh kabisaUnkinyonya haki yangu nayostahili
Nasimama kukukabili
Sikusomei albadili
Wala si’endi mahakamani na mawakili
Kanipa juu mamlaka sina fear kabisa
Tuna kila taarifa utajiri maarifa
Mi masihi mwafrika sime si-toshika
Ukinirusha saa sita
Nakumurder saa sita
Nkikukosa masika
Nakuuzia za vuli
Kama kaka nimekuwa
Kwa madogo kivuli
Shetani kwenye mnada namuuza bei nzuri
Mungu baba anajua huyu mwanangu ki-buri
Nasimama kama moya
Niongezee masifuri
Depo ilikuwa ni daraja mbili so njoo vizuri
Hahahaaa mkuu umeubaini mwandikoomwandiko wa joh kabisa
Dizasta mwenye vina vyakeKabla sijameza mate wala sijabuni sala
Naambiwa walikuja wazabuni kwa biashara
Na kwakua nilichelewa kufungua ofisi
Mchongo ukafa, nimeingizia kampuni hasara
Baada ya masaa kibao ya kufikiri
Ofisi ikaweka kikao kunijadili
Waliniona driver nimeangusha basi
Wakafikia mwafaka wakunifukuza kazi
Nikatahamaki, sikujua lakufanya
Pale kwenye kamati hakuna wa kumtazama
Nikahisi ni mipango ya kikuda imefanywa
Sio gari tu, maana hata nyumba nilinyang'anywa
Nikajiuliza huruma imekwenda wapi?
Kila mtu alijua kua nilipenda kazi
Niliheshimu kama navyoheshimu ndoa ama mzazi
Ama muumba, leo nimepata doa kwenye shati
Acha familia, vipi deni la ofisi
Wamenipa mwezi, nikifeli watanifilisi
Mtoto shule, pia bunju nina shamba la kukopa
Sijalipa na kijiji nina ndugu wa kutosha
Dizasta siku mbayaKabla sijameza mate wala sijabuni sala
Naambiwa walikuja wazabuni kwa biashara
Na kwakua nilichelewa kufungua ofisi
Mchongo ukafa, nimeingizia kampuni hasara
Baada ya masaa kibao ya kufikiri
Ofisi ikaweka kikao kunijadili
Waliniona driver nimeangusha basi
Wakafikia mwafaka wakunifukuza kazi
Nikatahamaki, sikujua lakufanya
Pale kwenye kamati hakuna wa kumtazama
Nikahisi ni mipango ya kikuda imefanywa
Sio gari tu, maana hata nyumba nilinyang'anywa
Nikajiuliza huruma imekwenda wapi?
Kila mtu alijua kua nilipenda kazi
Niliheshimu kama navyoheshimu ndoa ama mzazi
Ama muumba, leo nimepata doa kwenye shati
Acha familia, vipi deni la ofisi
Wamenipa mwezi, nikifeli watanifilisi
Mtoto shule, pia bunju nina shamba la kukopa
Sijalipa na kijiji nina ndugu wa kutosha
Mi ni mshindi..hakuna aliyekwamua hii...I've been down on the rock so long,
I seem to wear a permanent screw, But I'm gonna stare in the sun, Let the rays shine in my eyes, I'm gonna take a just one step more, Cause I feel like bombing a church, now, Now that you know that the preacher is lying....
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app


Bob Marley ft The Waisles- Talking Blues
Sorry, that's another B,
haters still ain't recover from the other B, mnh!
That's a double B,
Now that's a triple B,
Can't forget 'bout the other B (Hey)