mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 22,338
- 56,115
Mzee Lyatonga umenisikitisha sana hata mzee Cheyo kakupiga bao kasoma alama za nyakati akachangia kwa hisia japo hana kambi yoyote bungeni .sasa wewe ulijifanya kamanda wa vita ya ufisadi mbona umekuwa bubu ghafla kumbuka wana vunjo tuikupa ubunge kukuonea huruma upate hela ya dawa ya huo ugonjwa wako sasa umetuzingua imekula kwako mbatia sasa pasha misuli kwani hii ya kuteuliwa na Rahisi hauna radha na hiyo bahati haitarudi pasha pasha ujichukulie jimbo