Lwandamina unasubiri nani akwambie nini?

Siku zooooote uwa nasema na bado ntaendelea kusema, TATIZO KUBWA AZAM FC NI VIONGOZI period. Azam fc ina kila sbb ya kufika mbali na kuziacha simba na yanga kama wangekua na viongozi weledi kwenye soka. Thank God, nimeacha kuifatilia maana inaniumiza tu.
 
Timu ya Azam haipati matokeo ikiwa mikononi mwako pia. Inawezekana tatizo ni wewe, wachezaji, au viongozi na au wote kwa pamoja.

Lakini unasubiri hadi Azam ushuke nayo daraja ndio uondoke au unasubiri kutupiwa virago?

Wote tunafahamu kuwa wachezaji wako wana mgomo baridi kwaajili ya wachezaji wenzao waliokuwa wanadai maslahi kwa niaba Yao pia ambao wamesimamishwa kwa muda usiojulikana. hivyo wana waunga mkono kwa njia hii.

Tazama mpira waliocheza dhidi ya pyramids, walijituma kwa maslahi Yao wenye kama sehemu ya marketing yao wenyewe kwenye soka la Africa na dunia lakini sio kwaajili ya Azam team.

Wachezaji wa Azam ni kama wale wa Manchester united walivyomwangusha Ole. Timka zako bhana ili uwaache wafu wazikane wenyewe. Au unaogopa kupoteza maslahi?
Hii timu ni ya familia, tafuta pesa anzisha timu
 
Siku zooooote uwa nasema na bado ntaendelea kusema, TATIZO KUBWA AZAM FC NI VIONGOZI period. Azam fc ina kila sbb ya kufika mbali na kuziacha simba na yanga kama wangekua na viongozi weledi kwenye soka. Thank God, nimeacha kuifatilia maana inaniumiza tu.
Azam ni toto la Simba au Yanga? mi sielewi hapo
 
Back
Top Bottom