Baada ya kuachiwa kwa dhamana na Mahakama Mkurugenzi wa ulinzi na usalama wa CDM Wilfred Lwakatare baada ya kukaa Mahabusu kwa takriban miezi 2, Chama cha Chadema ni vema kumpa mh Lwakatare nafasi ya kusimama Jukwaani haswa wakati huu wa Uchaguzi mdogo wa Madiwani.!
Nafasi pekee ambayo Ingependeza Lwakatare azungumzie juu ya tuhuma alizobambikizwa na Polisi wakishirikiana na Usalama wa Ccm ni kwa Jiji la Arusha ambako uchaguzi wa madiwani unafanyika ktk kata 4 huku Mtaalamu wa Video ya Lwakatare MWIGULU akiwa yupo Arusha akizunguka ktk Majukwaa na Mlemavu wa Akili MUSA alieathirika Kisaikolojia baada ya kumwagiwa Tindikali.
Ikumbukwe kwamba Mwigulu alikiri jana kuhusika na mpango wa Kumrekodi Lwakatare ktk Video ijulikanayo kama Lwakatare na Ugaidi. Sterring akiwa Mwigulu.
Ni muda muafaka sasa wa Lwakatare kuelezea Umma wa Watanzani juu ya kilichojiri kabla na baada ya video hiyo.
Kuendelea kunyamaza kwa kisingizio kuwa kesi ipo mahakamani huku yeye Steering Mwigulu akiendelea kudai kuwa hata kama mahakama itamfutia Kesi Lwakatare lakini anao bado ushahidi wa kuhusika kwa Lwakatare ktk matukio ya Ugaidi. Na kama ni ushahidi yupo tayari kuutoa hata MBINGUNI.
Hima hima CDM muda wa kumuumbua huyu Mzinzi ni sasa ktk siku hizi ambazo yupo Arusha akiendelea na Propaganda.