Lwakatare kwenda Arusha Kumalizia Kampein ili kumuumbua Mwigulu?

sokoinei

JF-Expert Member
Feb 27, 2012
1,832
566
Baada ya kuachiwa kwa dhamana na Mahakama Mkurugenzi wa ulinzi na usalama wa CDM Wilfred Lwakatare baada ya kukaa Mahabusu kwa takriban miezi 2, Chama cha Chadema ni vema kumpa mh Lwakatare nafasi ya kusimama Jukwaani haswa wakati huu wa Uchaguzi mdogo wa Madiwani.!
Nafasi pekee ambayo Ingependeza Lwakatare azungumzie juu ya tuhuma alizobambikizwa na Polisi wakishirikiana na Usalama wa Ccm ni kwa Jiji la Arusha ambako uchaguzi wa madiwani unafanyika ktk kata 4 huku Mtaalamu wa Video ya Lwakatare MWIGULU akiwa yupo Arusha akizunguka ktk Majukwaa na Mlemavu wa Akili MUSA alieathirika Kisaikolojia baada ya kumwagiwa Tindikali.

Ikumbukwe kwamba Mwigulu alikiri jana kuhusika na mpango wa Kumrekodi Lwakatare ktk Video ijulikanayo kama Lwakatare na Ugaidi. Sterring akiwa Mwigulu.
Ni muda muafaka sasa wa Lwakatare kuelezea Umma wa Watanzani juu ya kilichojiri kabla na baada ya video hiyo.

Kuendelea kunyamaza kwa kisingizio kuwa kesi ipo mahakamani huku yeye Steering Mwigulu akiendelea kudai kuwa hata kama mahakama itamfutia Kesi Lwakatare lakini anao bado ushahidi wa kuhusika kwa Lwakatare ktk matukio ya Ugaidi. Na kama ni ushahidi yupo tayari kuutoa hata MBINGUNI.

Hima hima CDM muda wa kumuumbua huyu Mzinzi ni sasa ktk siku hizi ambazo yupo Arusha akiendelea na Propaganda.
 
Si kila wakati ucheze rhumba unalopigiwa, kama wewe ni mpenzi wa regge usikubali kulazimishwa kuchezeshwa Mayenu.

Mpuuzi mmoja kama Mwigulu Nchemba hawezi kutuamisha Watanzania kwenye Agenda ya mabadiliko na katiba mpya, ndio maana hata Dr Slaa yupo Ujerumani kwa majukumu mengine. Chadema ni zaidi ya taasisi ya kukimbizana na vichaa kama Chemba la Mavi.
 
Baada ya kuachiwa kwa dhamana na Mahakama Mkurugenzi wa ulinzi na usalama wa CDM Wilfred Lwakatare baada ya kukaa Mahabusu kwa takriban miezi 2, Chama cha Chadema ni vema kumpa mh Lwakatare nafasi ya kusimama Jukwaani haswa wakati huu wa Uchaguzi mdogo wa Madiwani.!
Nafasi pekee ambayo Ingependeza Lwakatare azungumzie juu ya tuhuma alizobambikizwa na Polisi wakishirikiana na Usalama wa Ccm ni kwa Jiji la Arusha ambako uchaguzi wa madiwani unafanyika ktk kata 4 huku Mtaalamu wa Video ya Lwakatare MWIGULU akiwa yupo Arusha akizunguka ktk Majukwaa na Mlemavu wa Akili MUSA alieathirika Kisaikolojia baada ya kumwagiwa Tindikali.

Ikumbukwe kwamba Mwigulu alikiri jana kuhusika na mpango wa Kumrekodi Lwakatare ktk Video ijulikanayo kama Lwakatare na Ugaidi. Sterring akiwa Mwigulu.
Ni muda muafaka sasa wa Lwakatare kuelezea Umma wa Watanzani juu ya kilichojiri kabla na baada ya video hiyo.

Kuendelea kunyamaza kwa kisingizio kuwa kesi ipo mahakamani huku yeye Steering Mwigulu akiendelea kudai kuwa hata kama mahakama itamfutia Kesi Lwakatare lakini anao bado ushahidi wa kuhusika kwa Lwakatare ktk matukio ya Ugaidi. Na kama ni ushahidi yupo tayari kuutoa hata MBINGUNI.

Hima hima CDM muda wa kumuumbua huyu Mzinzi ni sasa ktk siku hizi ambazo yupo Arusha akiendelea na Propaganda.
nakubaliana na mawazo yako moja kwa moja hata hivyo nilishapendekeza wazo hilo
 
Mimi nisingeshauri kamanda Lwakatare kujiunga na timu ya Kampeni Arusha. Ni muda muafaka kwake kutulia na kujipumzisha ili kujiletea ahueni Kisaikolojia.

CHADEMA isiwe kama MAGAMBA kwamba wao wanampandisha jukwaani Muathirika wa Tindikali walizo mmwagia wenyewe na CHADEMA wanampandisha jukwaani muathirika wa shutuma za kuchongwa na Mwigulu.

Nawaamini CHADEMA kwamba watatoka na utekelezaji UNIQUE wa kampeni za uchaguzi zinazo endelea.
 
Hii italeta msisimko sana na molali ya watu na pia kufuta uteja kabisa wa Mwigulu mchemba kwa kila atakayemsikiliza, kama Lwakatare ataenda Arusha. Mfano mzuri ni picha hii ambayo alipata mapokezi makubwa Chato mara baada ya kupita ktk misukosuko ya kisiasa.
 
Attachments

  • CHADEMA.jpg
    CHADEMA.jpg
    64.1 KB · Views: 246
  • Thanks
Reactions: MTK
Tumelisemea sana hilo,na mpk wengine tupo tayr kujitolea kidogo tulichonacho ili pia awe na personal dr wakuangalia afya yake huko huko arusha,japo kuwa chama kina taratibu zake na wala hatuweza kuforce kifanyike kitakacho tufurahisha sisi nakuichukiza cc ya cdm.......kufikia jioni nadhani tutakuwa na jipya kuhusu hii habari kwani "In cdm we trust"
 
Saaaafi sana...Huyo Chemba la choo atajuta kuija CDM......Mapambano yanaendelea..
Mbona kasha malizwa chemba limebaki linaongea na migomba na nyasi badala ya wananchama wa CCM, wanamwogoba Mussa alivyombambikwa tindikali usoni na kuuzwa kama kauzi kwenye majukwaa ,hana lolote Mwigulu zaidi ya ushetani,na nina hakika anapandikiza uchawi hata kwa watoto wake pole mke wa Mwigulu
 
Kwani kumbe hali ya hewa huko arusha ni mbaya sana baada ya kwenda mwiguru hadi inabidi chadema wapeleke mtu alietoka lupango ili wagain sympathy?
 
Ni kete ya turufu sana kwa CDM hasa ukizingatia Mwigulu anatembea na Mmwagiwa tindikali hii inaleta picha mbaya si kwamba CDM tulitenda kweli bali si uungwana ingawa kwa muelewa anajifunza kitu kuwa CCM wameidhiwa sera na maneno matamu sasa wanatumia mtu kama chambo.
 
Mkuu, habari nilizo zipata hivi punde ni kwamba Chemba la mavi a.k.a Savimbi alitimua mbio kutoka Arusha na kutokomea kusikojulikana baada ya kushindwa kuhimili mikiki mikiki ya zomea zomea kila anapo katiza.

Hiyo ndo Arusha tuipendayo.............
 
Kwani kumbe hali ya hewa huko arusha ni mbaya sana baada ya kwenda mwiguru hadi inabidi chadema wapeleke mtu alietoka lupango ili wagain sympathy?
Mwigulu maeharisha kuna harufu mbaya ila shetani lazima aaibishwe kwa ukweli. Maana hapa Arusha anadanganya watu na video yake ya Lwakatare ya kubambika
 
nyie vipi kupata dhamana ndiyo kushinda kesi? ile kesi imemkalia vibaya...mwache akae na mke wake kwanza ajiliwaze.
 
Back
Top Bottom