Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,138
Halafu unasikia mkuu wa nchi na Mwenyekiti wa CCM anasema vijana msishabikie wanaoisema nchi vibaya.Hillarious indeed!
Atachafuliwa Lwakatare na cdm pekeyao!
Kwa kuwa kiongozi wa Chadema anahusika na ugaidi ndio unataka Mahakama isimhukumu kwa ugaidi aliopanga kuufanya? ili kujipendekeza kwa watalii? hivi ulisoma shule wewe? sheria ya ugaidi ilipitishwa na Bunge na kama kuna magaidi wacha sheria ichukue mkondo wake! mbona Waziri Nchimbi aliposema Zanzibar kuna ugaidi mlifurahia? Zanzibar mnakiri kuna magaidi lakini wa kutoka bara mnataka wafichwe au washtakiwe kama majambazi! uhasidi na chuki ni vitu hatari sana!
Kuna haja ya kuelewa vizuri maana ya ugaidi maana naona kila mtu anaimba ugaidi bila kuelewa tafsiri yake halisi.
Cha msingi haki itendeke.
Hayo mambo ya kuichafua nchi hayapaswi kuwa kizingiti cha haki kutendeka.
Kwani nchi gani hakuna ugaidi mpaka itunyooshee kidole. Labda Vatican peke yake ndio hakuna ugaidi.
Atachafuliwa Lwakatare na cdm pekeyao!
hakuwalenga wale watembeza sumu bar aka chemical ally
Well noted Mr.Joseph Kony.Siku hizi umeingia na M23
Good,Achana na majina kama Theresia John.Hivi huendi Mbozi ama unamgwaya mwenyekiti wa Mkoa?
Kilichoichafua Tanzania ni
- Kuuawa kwa mwandishi,
- Kuuawa kwa viongozi wa dini,
- Kutekwa na kuteswa kwa kiongozi wa chama cha wafanyakazi
- Kutekwa na kuteswa kwa mwandishi mwingine
- Kumwagiwa sumu watu mbalimbali au kuumizwa na vitu vyenye ncha kali
- Uchochezi mbalimbali unaoendelea, na
- Maovu mengine dhidi ya binadamu
Kwa kuwa kiongozi wa Chadema anahusika na ugaidi ndio unataka Mahakama isimhukumu kwa ugaidi aliopanga kuufanya? ili kujipendekeza kwa watalii? hivi ulisoma shule wewe? sheria ya ugaidi ilipitishwa na Bunge na kama kuna magaidi wacha sheria ichukue mkondo wake! mbona Waziri Nchimbi aliposema Zanzibar kuna ugaidi mlifurahia? Zanzibar mnakiri kuna magaidi lakini wa kutoka bara mnataka wafichwe au washtakiwe kama majambazi! uhasidi na chuki ni vitu hatari sana!
Halafu unasikia mkuu wa
nchi na Mwenyekiti wa CCM anasema vijana msishabikie wanaoisema nchi
vibaya.Hillarious indeed!