Mzee wa fact
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 247
- 229
acha kumtaja taja mungu kwa mambo usio na uhakika nayo wala ujuzi nayo,acha sheria ichukue mkondo wake sio kila kitu ni siasa ndo mnaofanya cdm kionekane chama cha kidiniBWANA awe nasi.

Mnajitaidi sana kujitekenya na kucheka wenyewe huku ukweli wa jambo ili mkiujua, lakini mjue hapa CCM na serikali yake Wanaruka sarakasi huku wamevaa Taulo kitakachotokea ni kukaa UCHI.Cha msingi haki itendeke. Hayo mambo ya kuichafua nchi hayapaswi kuwa kizingiti cha haki kutendeka.Kwani nchi gani hakuna ugaidi mpaka itunyooshee kidole. Labda Vatican peke yake ndio hakuna ugaidi.
Mnajitaidi sana kujitekenya na kucheka wenyewe huku ukweli wa jambo ili mkiujua, lakini mjue hapa CCM na serikali yake Wanaruka sarakasi huku wamevaa Taulo kitakachotokea ni kukaa UCHI.
Atachafuliwa Lwakatare na cdm pekeyao!
Wakenya bado hawaja take advatage,kwa hili kuchukua Watalii
Na kitakachoipa sifa Tanzania ni kuanza kuwashughulikia kikamilifu Wahusika wakuu wa uvunjifu wa Amani kina Lwakatare na chama chake cha Demekrasia Feki!
acha kumtaja taja mungu kwa mambo usio na uhakika nayo wala ujuzi nayo,acha sheria ichukue mkondo wake sio kila kitu ni siasa ndo mnaofanya cdm kionekane chama cha kidini
DEMEKRESIA....!?? sikushangai, ndo matunda ya Mulugo
Kwa kuwa kiongozi wa Chadema anahusika na ugaidi ndio unataka Mahakama isimhukumu kwa ugaidi aliopanga kuufanya? ili kujipendekeza kwa watalii? hivi ulisoma shule wewe? sheria ya ugaidi ilipitishwa na Bunge na kama kuna magaidi wacha sheria ichukue mkondo wake! mbona Waziri Nchimbi aliposema Zanzibar kuna ugaidi mlifurahia? Zanzibar mnakiri kuna magaidi lakini wa kutoka bara mnataka wafichwe au washtakiwe kama majambazi! uhasidi na chuki ni vitu hatari sana!
Na kitakachoipa sifa Tanzania ni kuanza kuwashughulikia kikamilifu Wahusika wakuu wa uvunjifu wa Amani kina Lwakatare na chama chake cha Demekrasia Feki!
Upungufu wa akili mwilini, watu wanaongelea mambo ya kitaifa wewe unawaza vyama.Atachafuliwa Lwakatare na cdm pekeyao!
Serikali ya CCM inaona haina cha kupoteza maana haioni dalili za kuendelea kuwepo madarakani na ndio maana haitaki kujua madhara ya matendo yake. Hili unalolisema linaenda sambamba na hatua ya rais kuwaza kwenda kukopa na kuongeza deni la taifa kila siku.Makosa ya ugaidi aliyoshtakiwa Alfred Lwakatare na mwenzake Ludovick Joseph yanaweza kuichafua nchi kimataifa.
Kwa mawazo yangu,makosa ya ugaidi ni makosa 'sensitive' na hivyo kuvuta hisia za mataifa ya nje yakiwemo ya America na Ulaya. Nijuavyo mimi, hii ni mara ya kwanza tangu sheria ya kuzuia ugaidi ilipoundwa na Bunge mwaka 2002 kwa mtanzania kushtakiwa kwa ugaidi hapa nchini. Tanzania tuna magaidi na ugaidi!?
Nionavyo, hata utalii na uwekezaji utapungua kwakuwa watalii na wawekezaji wengi wataiona Tanzania nchi isiyo na usalama sana na hivyo kuwatisha wawekezaji na watalii hao. Mashtaka ya Lwakatare na mwenzake yanaweza kuleta taswira mpya toka ile ya Tanzania yenye amani na utulivu hasa kimataifa.
Tufanye mambo yetu tukiwa tayari kupokea madhara na matokeo ya masuala hayo.
Muhimu: Haya ni maoni na mawazo yangu binafsi kwa mujibu wa Ibara ya 18 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,1977(kama inavyorekebishwa mara kwa mara)
Kama hakuna unachokijua kinachokufanya ushabikie usichokijua ni nini? huoni kama ni kutokuwa timilifu kia..li kushabikia usichokijua.Hakuna lolote ninalojua kuhusu ugaidi....
Makosa ya ugaidi aliyoshtakiwa Alfred Lwakatare na mwenzake Ludovick Joseph yanaweza kuichafua nchi kimataifa.