Lwakatare ataichafua Tanzania

Lwakatare ataichafua Tanzania

Upungufu wa akili mwilini, watu wanaongelea mambo ya kitaifa wewe unawaza vyama.

Nilichojifunza kwa sasa JF,ukitaka usipigwe BAN ukiona mtu ameandika kitu ambacho kinakera,ni bora usimjibu,iache post yake ikae kama ilivyo mwisho wa siku atajifunza UZALENDO na UBINADAMU kwa lazima.Kama huyu uliyemjibu hakustahili kujibiwa na kupoteza muda wako.Kwani ni kati ya wale wachache wanaonufaika n amfumo tulionao kwa sasa.
 
In Legal perspective there is no terrorism agaist Individual.it must be agaist state,or the mass community?so Denis Msacky has bn an organ of state now days?

Kama kweli nia ya Lwakatare alitaka kutenda kile ambacho kimeelezwa na hawa watu wanaomshitaki basi hiyo huwezi kuita ni ugaidi (terrorism or state of terror) maana huyu ni individual person ambayo kwenye terrorism lazima iwe kikundi au state etc. Kwenye penal code yetu ni makosa ya kumnyima uhuru mtu s(sijui kama ni sawa kwa kiswahili) Offence against liberty ambayo tunakuta umo kuna abduction na kidnapping kifungu cha 248 kinaelezee vizuri maana ya tendo ilo.
Terrorism ni kosa kubwa kulinganisha ni iki kinachoelezwa bwana
 
248. 248. Any person who kidnaps or abducts a person in order that that person may be murdered, or may be so disposed of as to be put in danger of being murdered, commits an offence and is liable to imprisonment for ten years.
249. Any person who kidnaps or abducts a person with intent to cause that person to be secretly and wrongfully confined commits an offence and is liable to imprisonment for seven years.
250. Any person who kidnaps or abducts another in order that that other person may be subjected, or may be so disposed of as to be put in danger of being subjected, to grievous harm, or slavery, or to the unnatural lust of any person, or knowing it to be likely that the person will be so subjected or disposed of, commits an offence and is liable to imprisonment for ten years


 
Kuna haja ya kuelewa vizuri maana ya ugaidi maana naona kila mtu anaimba ugaidi bila kuelewa tafsiri yake halisi.
Tutafsirie hiyo tafsiri ya Ugaidi ifahamike (ieleweke) kwa lugha ya kiswahili lakini nasio kwa (swahili)
 
"Ni mambo yale yale, walianza chama hiki cha familia ya Mtei na Mbowe, ikashindikana, chama hiki cha kikabila, cha Wachaga… ikashindikana, wakasema chama hiki cha kaskazini, imeshindikana, wamesema chama hiki cha wakatoliki, ikashindikana, wamesema chama hiki cha wakristo bado Watanzania wamekataa, iemshindikana pia… Sasa unafanyaje? Tengeneza hii kitu, sasa kiwe chama cha magaidi…ITASHINDIKANA pia,"

well phrsed
 
Makosa ya ugaidi aliyoshtakiwa Alfred Lwakatare na mwenzake Ludovick Joseph yanaweza kuichafua nchi kimataifa.

Kwa mawazo yangu,makosa ya ugaidi ni makosa 'sensitive' na hivyo kuvuta hisia za mataifa ya nje yakiwemo ya America na Ulaya. Nijuavyo mimi, hii ni mara ya kwanza tangu sheria ya kuzuia ugaidi ilipoundwa na Bunge mwaka 2002 kwa mtanzania kushtakiwa kwa ugaidi hapa nchini. Tanzania tuna magaidi na ugaidi!?

Nionavyo, hata utalii na uwekezaji utapungua kwakuwa watalii na wawekezaji wengi wataiona Tanzania nchi isiyo na usalama sana na hivyo kuwatisha wawekezaji na watalii hao. Mashtaka ya Lwakatare na mwenzake yanaweza kuleta taswira mpya toka ile ya Tanzania yenye amani na utulivu hasa kimataifa.

Tufanye mambo yetu tukiwa tayari kupokea madhara na matokeo ya masuala hayo.

Muhimu: Haya ni maoni na mawazo yangu binafsi kwa mujibu wa Ibara ya 18 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,1977(kama inavyorekebishwa mara kwa mara)

Kwa namna ambavyo neno "UGAIDI"--"TERRORISM" lilivyo gumu kutafsirika kama ile msemo wa kwenye Katiba "Binadamu wote ni Sawa",basi hamna Tatizo lolote kwamba ati tanzania itaeleweka vibaya na Jumuiya ya Kimataifa kuhusu kumfungulia lwakatare mashtaka ya Kigaidi....Jaribuni kutafuta Definition ya neno Ugaidi muone na nyie mtakavyochanganyikiwa kwani liko "Controversial to the maximum" katika kila Nchi.....Lakini all in all,lina originate kwenye kitu kidogo tu...."Terrorizing using any means,to put someone in a state of FEAR"......Sijui katika ule mkanda Lwakatare alikuwa anasema huyo mtu hawatampiga wala kumfanyia chochote kibaya,ila kumuweka mahali ambapo akiamka asubuhi anajikuta yuko sehemu ambayo hakuitarajia kabisa na kujiuliza----aaah,hawa jamaa ka wameweza hivi,ina maana waweza kunifanyia mbofu saidi",kwa nini nihangaike nao wakati nina mshahara wangu mzuri?ngoja niachane nao.....Ugaidi Ugaidi ugaidi!----neno baya kwani lina definition zaidi ya 1000!

JF bwana...kila mtu mwandishi,mchambuzi,mwanasiasa,mzalendo,mfurukutwa,Agent special force....alimradi rahi ndani ya karaha!
 
Well noted Mr.Joseph Kony.Siku hizi umeingia na M23

Good,Achana na majina kama Theresia John.Hivi huendi Mbozi ama unamgwaya mwenyekiti wa Mkoa?

Ben bwana...huwa unanifurahisha sana pale unapoonyesha kwamba unamjua mtu hata kama kaingia na "JF ID"....teh teh teh....Sijui bwana...mnajuana kweli ama ni kwamba nawe huwa una guess kwamba yawezekana ni "huyu"?...Siku ya Watu kuja kujitokeza na ID halisi humu JF....tutashika tama kama "Brown" alivyoshika tama.
 
Kwa kuwa kiongozi wa Chadema anahusika na ugaidi ndio unataka Mahakama isimhukumu kwa ugaidi aliopanga kuufanya? ili kujipendekeza kwa watalii? hivi ulisoma shule wewe? sheria ya ugaidi ilipitishwa na Bunge na kama kuna magaidi wacha sheria ichukue mkondo wake! mbona Waziri Nchimbi aliposema Zanzibar kuna ugaidi mlifurahia? Zanzibar mnakiri kuna magaidi lakini wa kutoka bara mnataka wafichwe au washtakiwe kama majambazi! uhasidi na chuki ni vitu hatari sana!


Unatoka poooovu kwa kutetea ujinga uliofanywa na watu fulani kwa tamaa ya madaraka kwamba hawataki kuachia madaraka hivyo wanatumia umafia kwa kukomoa watu,yooooooote yana mwisho mtaua lakini ipo siku na nyie mtakufa tu
 
Siku moja aliniuliza mzungu umetokea wapi nikamjibu Tanzania akaniambia oh the beatiful country! Du ilibidi nizubae kidogo nikamwambia please give me 5 minutes i will come back. Niliingia jamii forum nikachukua ile report inayoonyesha mauaji ya yote nikampelekea oh my God mzungu wa watu alishindwa cha kunijibu. Akaniomba nimwachie ile report. Kwa hiyo ni watu wengi sana wanajua nini kinachoendelea huko Tz.
 
Back
Top Bottom