Lwaitama, Makwaiya: Israel Commits Genocide?

Lwaitama, Makwaiya: Israel Commits Genocide?

AZUSA STREET

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2013
Posts
2,007
Reaction score
1,898
Kuna Dr. Lwaitama na doctor mwingine fulani hivi jina limenitoka pamoja na Makwaiya wa kuhenga channel ten, wanajadili hapa kuwa Israel inatenda makosa ya "mauaji ya kimbari", huyu ni doctor (PHD holder) na huyo mwenzie, nilichojiuliza ni kwamba hivi hajasoma tu hata kwenye wikipedia maana halisi ya genocide?, halafu, hivi kipindi cha je? tutafika cha makwaiya mbona kina harufu sana ya udini fulani hivi siku zote, au ndio channel ten kazi zake?

sisemi wapalestina wanaouawa ni sahihi, ninachoangalia hapa ni kama kuna mtu katoka nje ya nchi anaangalia wasomi wa kitz wanaojadili suala hili halafu wanasema hiyo ni genocide, wakati hakuna hata elements za genocide, labda angesema hizo ni war crimes au mauaji ya halaiki/dhidi ya ubinadamu....sijaelewa wameweka kipindi ili kuponda israel au kuongea hoja.

huyo Dr mwingine ndio anasema waisrael/wayahudi ni wazungu tu walitoka ulaya na nchi nyingine, na anawaita mayahudi sio wayahudi....very hopelss kama wametoka leo kijijini vile.
 
hajui kabisa historia ya palestina huyo mwenye shati la draft. kamwaiya ndio kabisaa, sijui amesoma hadi langapi?
 
Kuna Dr. Lwaitama na doctor mwingine fulani hivi jina limenitoka pamoja na Makwaiya wa kuhenga channel ten, wanajadili hapa kuwa Israel inatenda makosa ya "mauaji ya kimbari", huyu ni doctor (phd holder) na huyo mwenzie, nilichojiuliza ni kwamba hivi hajasoma tu hata kwenye wikipedia maana halisi ya genocide?, halafu, hivi kipindi cha je? tutafika cha makwaiya mbona kina harufu sana ya udini fulani hivi siku zote, au ndio channel ten kazi zake?

sisemi wapalestina wanaouawa ni sahihi, ninachoangalia hapa ni kama kuna mtu katoka nje ya nchi anaangalia wasomi wa kitz wanaojadili suala hili halafu wanasema hiyo ni genocide, wakati hakuna hata elements za genocide, labda angesema hizo ni war crimes au mauaji ya halaiki/dhidi ya ubinadamu....sijaelewa wameweka kipindi ili kuponda israel au kuongea hoja.

huyo Dr mwingine ndio anasema waisrael/wayahudi ni wazungu tu walitoka ulaya na nchi nyingine, na anawaita mayahudi sio wayahudi....very hopelss kama wametoka leo kijijini vile.
yaani kimeniboa sana. Naona hawana data za kihistoria kuhusu Israel. Sijui wanajadili jini maana wote wanasupport palestines.hakuna hoja mbadala.islams wanal3lewa as kids. Hawaambiwi ukweli
 
azusa

mwanazuoni huyo
hawawaiti "wayahudi" wanawaita "mayahudi", yeye anaamini wayahudi marekani wamefika 2ml, (hajui kama wemefikia 10mil)....kama wanajadili kitu kizuri, kwanini wawaite mayahudi? yeye atafurai akiitwa "matanzania" au "mapalestina".....kwani lwaitama elimu yake ni ipi, najua yupo pale chuo na kuna miaka fulani tulikuwa tunapishana sana kwenye daladala, na ni mkorofi ajabu hata kwenye daladala anagombana, na juzi tu hapa aligombana na precision air hadi kawekwa ndani..anavuta bange?
 
wako na poor history ya middle east ajabu sana. weupe kabisa.
 
anasema "mayahudi aka mazayuni" waliondoka middle east miaka 3000 iliyopita....that means hata kabla yesu hajazaliwa, does it mean wakati Yesu anazaliwa pale bethlehemu wayahudi hawakuwepo pale? hawajui kitu.
 
Eti israel ndo wamefanya mipango Iraq kuwe na migogoro
 
wanasema tuomba Mungu ubalozi wa israel usihame Nairobi na kufunguliwa Dsm, wanataka hapa uwepo wa palestina tu. lwaitama na huyo dada mwarabu ndio wanaongea hivyo sasaivi hapa. Mungu atawalaani hakika. mnachotakiwa kujua ni kwamba si kila mtu anaichukia israel, almost 50 percent of Tanzanians wanasapoti israel hapa tz na wangependa ubalozi wao uwepo hapa hivyo msifikiri hii nchi ni ya kwenu peke yenu, ni ya kwetu sote na sisi tungependa marafiki zetu waisrael wawe na ubalozi hapa hata kama ninyi hamuwapendi, ndio maana hata sisi kuna nchi ambazo hatupendi ubalozi wao uwepo hapa lakini kwaajili yenu tunaheshimu ziwe na ubalozi hapa.
 
Mapigano ya Hamas na Izrael ni sawa na bondia mmoja kupangua ngumi nyingi, na yule aliefanikiwa kuingiza ngumi nyingi anaonekana kumuonea mwenzie. Kwani makombora aliyokuwa anarusha Hamas kama yasingepanguliwa yasingeua watoto wa Izrael?, Pia kwanini Hamas walitumia pesa za Misaada kutengeneza maandaki ya chini kwa chini kuelekea Izrael kuteka watu?, kwanini hizo pesa wasingewekeza kwenye elimu ya sayansi ili wapambane na Izrael vizuri?
 
Lweitama hata useme nini, Waizrael hawatawanyiki tena, watakaa hapohapo hata mfanye nini

Ezekel 37:21
21 Ukawaambie, Bwana MUNGU asema hivi; Tazama, nitawatwaa wana wa Israeli toka kati ya mataifa walikokwenda, nami nitawakusanya pande zote, na kuwaleta katika nchi yao wenyewe;
22 nami nitawafanya kuwa taifa moja katika nchi hiyo, juu ya milima ya Israeli; na mfalme mmoja atakuwa mfalme wao wote; wala hawatakuwa tena mataifa mawili, wala hawatagawanyikana kuwa falme mbili tena, hata milele.
 
anasema "mayahudi aka mazayuni" waliondoka middle east miaka 3000 iliyopita....that means hata kabla yesu hajazaliwa, does it mean wakati Yesu anazaliwa pale bethlehemu wayahudi hawakuwepo pale? hawajui kitu.

Yan hapo ndo nlipozima kabisa tv nkaenda kulala,yan wako empty kabisaa..
 
ndio wanazuoni wetu hao...tanzania tutegemee nn kutoka kwa wasomi wetu
 
lwaitama ni mwanadamu wa ajabu sana, na amebaki masikini kuliko maphd holder wote wa udsm kwasababu ya uelewa wa aina hiyo na kujifanya ana misimamo ili afurahishe watu sasa watu hata awafurahishe vipi wanamkanyaga tu. anapanda daladala hadi leo ama kuendesha mi mark II wakati wenzie wanaendesha mabenzi. watu wafupi kama piliton shida sana. inferiority complex ili uonekana upendwe...hahaha.
 
Kuna Dr. Lwaitama na doctor mwingine fulani hivi jina limenitoka pamoja na Makwaiya wa kuhenga channel ten, wanajadili hapa kuwa Israel inatenda makosa ya "mauaji ya kimbari", huyu ni doctor (phd holder) na huyo mwenzie, nilichojiuliza ni kwamba hivi hajasoma tu hata kwenye wikipedia maana halisi ya genocide?, halafu, hivi kipindi cha je? tutafika cha makwaiya mbona kina harufu sana ya udini fulani hivi siku zote, au ndio channel ten kazi zake?

sisemi wapalestina wanaouawa ni sahihi, ninachoangalia hapa ni kama kuna mtu katoka nje ya nchi anaangalia wasomi wa kitz wanaojadili suala hili halafu wanasema hiyo ni genocide, wakati hakuna hata elements za genocide, labda angesema hizo ni war crimes au mauaji ya halaiki/dhidi ya ubinadamu....sijaelewa wameweka kipindi ili kuponda israel au kuongea hoja.

huyo Dr mwingine ndio anasema waisrael/wayahudi ni wazungu tu walitoka ulaya na nchi nyingine, na anawaita mayahudi sio wayahudi....very hopelss kama wametoka leo kijijini vile.
Mkuu whether ni mauaji ya kimbari, holocaust, genocide au mauaji ya halaiki, ukweli haupingiki kuwa mauaji yasiyo na sababu yamefanyika.
Ukiua mtu na kumtafutia terminology haibadilishi the fact kuwa ameua.

Hii vita kati ya Hamas na Israel has unproportionate bearings.
 
anasema "mayahudi aka mazayuni" waliondoka middle east miaka 3000 iliyopita....that means hata kabla yesu hajazaliwa, does it mean wakati Yesu anazaliwa pale bethlehemu wayahudi hawakuwepo pale? hawajui kitu.

Hapo hata mimi waliniacha hoi. Eti taifa la Israeli limeanzishwa juzi tu. Ina maana vitabu vya dini vinatudanganya? Mjadala uliegemea upande 1 (biased). Walishindwa ku-balance mjadala.
 
Back
Top Bottom