Lutheran Mtwara kimenuka tena...

Umesema ukweli, ni hatari watumishi wanapounda mitandao ya kupeana madaraka na ulaji. Imefika mahali mtu anatengenezewa dayosisi ili kuleta amani, hii ni aibu.

Vv
 
Umesema ukweli, ni hatari watumishi wanapounda mitandao ya kupeana madaraka na ulaji. Imefika mahali mtu anatengenezewa dayosisi ili kuleta amani, hii ni aibu.

Vv

Kabisa Mkuu, hatukuzoea wala kutegemea kuona injili inatangazwa mgongoni kukiwa na mtutu wa bunduki kama mkutano wa siasa,
 
Jumlisha na wale walimu wa madrasa wanaowanajisi watoto,halafu utembee kidoooogo zenji na Mombasa kwa wale wenye sijida km nakoz za tong poo utuletee ripoti za uzima wa vinyeo vya watoto
Mombasa kufanya nini mapadre tunawashuhudia ktk mahakama za Far ? Au mpaka tutaje majina humu ?
 
Mombasa kufanya nini mapadre tunawashuhudia ktk mahakama za Far ? Au mpaka tutaje majina humu ?
Na huyu kiongozi wenu wa dar anaesasambuliwa huko insta nae umtaje na hayo anayotajwa kuyapenda sana
 
Kuna rafiki yangu alitongoza sister na akamgegeda kabisa
kwani sista ni malaika? watu walimgegea Maria Magdarena iweje huo sista aliyeingia utawanani kwa kupigiwa debe na shangazi yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…