Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,975
- 9,566
Lakini si kweli?
yeye mbunge kwa uwezo wake anatumia line moja kupigia mitandao yote. Lakini sisi ambao hatuna uwezo wa kupiga kila mtandao tunachokifanya ni kuwa na line ya kila mtandao kukwepa gharama.