Lusinde Ajiandikishe Form One Kufuta Ujinga

Lusinde ndio kiashiria cha dira ya wale ambao leo hii tumewapa dhamana ya kukiongoza chama kilichoasisiwa na watanzania waliokua na dira na shauku na uzalendo mkubwa na nchi hii. Unashangaaje nchi kuwa ya kishenzi, iwapo viongozi wake ndio hao waliokua wamekaa jukwaani wakisubiri lusinde amalize kusema lugha na maneno yanayofanana na wao kabla hawajamshangilia na kumpa mkono wakati wanapanda jukwaani maana wa kwao Lusinde kawatayarishia njia. Tuliambiwa tukicheka na mbwa tutaingia nao msikitini, tumewachekea walipowaita watanzania wenzetu vikokoto, tukacheka walipomuita padri malaya, tukacheka tena waliposema watawashikisha wenzetu wanaume wazima ukuta, sasa tunashangaa nini wakisema wanaume wote walioko magerezani tena wangi wao wakiteseka pasipo hatia ni wanawake, wameolewa na wanaume wenzao, tunawacheke wanaopowatukana mama zetu, dada zetu, mabinti zetu, tuliwachekea walipoenda Igunga na kuwalala wake zetu, bado tukawapa kura, sasa tunashangaa nini wanapotufundishia watoto misingi ya maisha yao kule mashimoni, watoto wetu na vizazi vyetu? na pale ambapo hata chama chao kimebariki maana kwao hizo ndio siasa, tunapo reduce ubunge kuwa nafasi za walinda maslahi ya wachache pasipo kujali kwa garama gani, ndio maana leo tuna wakina Ester Bulaya, wakina Dokii, wakina Maji marefu wanaosema chadema wapandishe GDP mwanza, (what a fool), na Mkapa anayesema ili uwe kiongozi mzuri lazima uzaliwa ndani ya ndoa ndio maana vincent Nyerere hafai, lakini anasahau kuwa yeye mzao wa ndoa, tena ya katoliki ni mwizi mkubwa zaidi ya wale wa Ali baba, ameiba nyumba zetu, migodo yetu amejaa uroho usio na kinga na mungu amemlaana sasa amegeuka a laughing stock, kinachofuata watanzania popote mlipo, walipa kodi wote tumvue kodi zetu akalipwe na CCM, mbona mwenzake Mwinyi katulia, yeye anawashwa na nini? anataka atiwe nini ili anyamaze

....I just had to laugh about this! You certainly have made my day Comrade! Take my 5.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom