Tido mtoga
JF-Expert Member
- Oct 21, 2015
- 514
- 433
Bas na kodi wasichukue sehem Za upinzani
Dawa ni sisi tusilipe kodi... ukienda dukani unamwambia niuzie bei ya bila risiti.Bas na kodi wasichukue sehem Za upinzani
Utakamatwa na kuwajibishwa kwa kukwepa kulipa kodi.Dawa ni sisi tusilipe kodi... ukienda dukani unamwambia niuzie bei ya bila risiti.
Ile kauli ni utapeliKwa. aliyoyasema lusinde. ccm ilipaswa. kuomba radhi umma wa watanzania. ni nje ya utanzania wetu. yale maneno ya maendeleo hayana chama chini ya rais wetu mtukufu kumbe ni maigizo.
hiyo. bajeti. inapatikana kwa kodi za wanaccm tu? hivi unajua maana ya kuapa kulinda katiba? ccm ya nyerere sio hii.Kama mbunge wa jimbo lako ameikataa bajeti unapewaje maendeleo ?Unapewa maendeleo kwa bajeti ipi?
haa haa. kodi zichukuliwe kwa watu wote maendeleo yapelekwe kwa wanaccm tu?Utakamatwa na kuwajibishwa kwa kukwepa kulipa kodi.
Sasa kama Mbunge wenu kaigomea bajeti kisa kafundwa na kamati kuu unataka Serikali ijipendekeze?hiyo. bajeti. inapatikana kwa kodi za wanaccm tu? hivi unajua maana ya kuapa kulinda katiba? ccm ya nyerere sio hii.
Na kodi basi msichukue mnachukua kwa mtu alie pinga bajeti yetuKama mbunge wa jimbo lako ameikataa bajeti unapewaje maendeleo ?Unapewa maendeleo kwa bajeti ipi?
Kwani majimbo ya wanaccm hayana wananchi wafuasi wa chadema?haa haa. kodi zichukuliwe kwa watu wote maendeleo yapelekwe kwa wanaccm tu?
Kodi lazima ichukuliwe hata kwa mgeni anayekuja kufanya biashara humu haimaanishi tutampelekea barabara.Na kodi basi msichukue mnachukua kwa mtu alie pinga bajeti yetu
Mbona nyinyi hamkamatwi kwa kukaa vikao rasmi vya kuvunja katiba?Utakamatwa na kuwajibishwa kwa kukwepa kulipa kodi.
Weka clip ya vikao basi au zile saa za Nassari zimekufa kibudu ?Mbona nyinyi hamkamatwi kwa kukaa vikao rasmi vya kuvunja katiba?
Kuliko yote hayo kwanini msikae vikao vya kufuta upinzani rasmi ili nchi iwe na maendeleo?
Ukitaka kula haramu unakula iliyonona!!
Mimi tena niweke video? siyo Lusinde?Weka clip ya vikao basi au zile saa za Nassari zimekufa kibudu ?